watu wa Itigi ni watu wa maana na wa muhimu sana,
walimpuuza jamaa wakati alijaribu kuzungumza kwa hisia sana, habari ya sukari, alipowasoma hata hawamtazami, ikabidi na kumlazimu abadili hoja kwa haraka sana, baada ya kustudy facial expressions na body languages za hadhira ya wana Itigi, kwamba sukari sio issue kwao....
vinginevyo angeendelea kuwaeleza vitu ambavyo si vya muhimu kwao, wangemuacha aongee pekeyake tu jukwaani
hiyo ya kusadikika ndio watu wa Itigi hawataki kama waTz wengine wanavyompuuza hivi sasa
atang'oka kirahisi sana kwa kura kama atadhibitiwa asiibe kura na uchaguzi uwe wa huru na hakiHuyo ni mkoloni mmoja tuliye fanikiwa kumng'oa; kazi sasa ni kumng'oa huyu MKOLONI mpya, CCM. Naamini atang'oka tu!
ni mpuuzi, akiona mambo yatamuwia vigumu atabadili id ili kukwepa fedhehaMkuu 'Tlaa', una kazi ngumu mno. Na itaendelea kuwa ngumu kwelikweli kadri tunavyo elekea 2025.
Itabidi niwe macho zaidi na kufuatilia kwa karibu zaidi hali yako itakavyo kuwa ikibadilika, kama hutazimia kabla ya kipenga cha mwisho.
Ni uzembe uliopitiliza kutamani kutawaliwa, na hii ni lugha ya kuudhi kwa wazazi na mababu zetu waliopigania uhuru. Kwa kauli hii laana Yao haiwezi kukuacha salama.Tukiamua tunaweza kuwarudisha, wanapataka sana Africa. Bora Mkoloni mweupe, kuliko Mkoloni mweusi.
Usemi wa Nyerere kuwa, mpinzani wa kweli wa CCM, atatoka CCM ulikuwa na maana kubwa kwenye duru za kisiasa. Mpina wa CCM amelianzisha kuhusu rushwa za msomali Bashe. Moto umekolea kwa Lissu wa cdm. Na utakolea nchi nzima.Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.
Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .
Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.
Liwalo na Liwe
View attachment 3019630
=====
Pia soma:
- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni
Huyo mdada Kuna mabasi Fulani ya TANGA/DAR yaliyoibuka siku za karibuni na kuvunja umaarufu wa Rahaleo na Ratco wambea wanasema kwamba Ni mdau mkubwa huku NHIF ikiteketea.Usemi wa Nyerere kuwa, mpinzani wa kweli wa CCM, atatoka CCM ulikuwa na maana kubwa kwenye duru za kisiasa. Mpina wa CCM amelianzisha kuhusu rushwa za msomali Bashe. Moto umekolea kwa Lissu wa cdm. Na utakolea nchi nzima.
Kama kweli, mama Samia ameamua kukutana na wasemaji wa serikalini basi ni kutaka kuwaelekeza namna ya kudhibiti huo moto. Mm nafikiri huu moto wa Mpina usiishie kwa Bashe tu, nasikia Makamba, Mkumbo, Mwigulu na Dada yetu wa Afya wana pesa ndefu na chafu kweli kweli.
Mpina pasua wote hao na Lissu aunge mkono wawashiwe moto wa kufa mtu. Ikiwezekana wajiuzuru mwanawani.
Wacha nikwambie tanzania hakuna wanasiasa wala wanaharakati kuna uhanithi tu,walisimama mwembe yanga wakaleta maneno yao na porojo za kuhanithi kama halafu 2015 wakasema sio fisadi,tunataka kujua vyanzo vyake vya mapato ,ikiwezekana huyo mke wa bashe atembee na benk kabisa kila mtu atafute pesa zake hata wewe ukipata nafasi iba tu,sukari hata ikiuzwa milion nitanunua lakini uhanithi wa wanasiasa siutaki!Mkuu kama ulinunua sukari sh 6000 kwa kilo umewatajirisha kina bashe na jamaa zao wasomali wa itel na akina abdul
Nasikia mke wa bashe anatembea na mabegi ya hela
Watu watakuja humu kuulizia ushahidi. Yaani the charge of life style pekee haziwezi kuwapa majibu. Mke wa Bashe inasemekana anapokea pesa kwenye mabegi.
Kuna haja ya kuanza kuwafangia viongozi wetu LIFE STYLE AUDIT.
Tajiri wa Chalinze na mbunge wao Kwa kushirikiana na waturuki sijui waliouziwa maliasil yetu ipi wamechinja ng'ombe 1500 ungeenda kuchukua nyama. Kweli Bashiru na Ndugai tutawakumbuka. Kama CCM wanavunja Katina Kwa nini hawakuachiwa wakaitikisa tu.SISI WANA CCM KINDAKINDAKI TUKISIA HAYA TUNAVUNJIKA MOYO SANA..., NGUVU ZINATUISHIA, UKIZINGATIA HATA SIKUKUU WENGI WETU TUMESHINDWA KUISHEHEREKEA, MUNGU ANAWAONA!
Na afukuzwe tena, ikibidi wasiruhusiwe kutembea barabarani. Yaani wakamatwe watiwe viboko, wafungwe pingu, na kuburuzwa kwenye matenga, kuanzia Lubumbashi mapka kapiri mposhi.Sijui kwa nini mkoloni mzungu alifukuzwa kwa mbwembwe nyingi vile enzi hizo
No doubt about that, mkoloni mweusi ni worse na hovyo kuliko mweupe, South Africa naona wameshtuka mapema kabla hayajawakuta kama kwetuIli kumpa nafasi mkoloni mpya mweusi.
Haohao ndo wamekuletea hizo amri 10Na afukuzwe tena, ikibidi wasiruhusiwe kutembea barabarani. Yaani wakamatwe watiwe viboko, wafungwe pingu, na kuburuzwa kwenye matenga, kuanzia Lubumbashi mapka kapiri mposhi.
Wazungu hawa walibaka, waliua, waliiba, walitesa na kufanya kila aina dhambi, yaani walienda kinyume kabisa na amri kumi za Mungu.
Wafukuzwe tena.
Maza huwezi kusikia ametengua uteuzi kutoka kwenye hii mikoa Zanzibar, Pwani na Tanga na ndiyo ina viongozi wa hovyo kabisaAkizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.
Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .
Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.
Liwalo na Liwe
View attachment 3019630
=====
Pia soma:
- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni