Pre GE2025 Itigi: Tundu Lissu adai kila Mfanyabiashara alitoa Rushwa ya Tsh Bil 9 ili kupata kibali cha Kuagiza Sukari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu watakuja humu kuulizia ushahidi. Yaani the charge of life style pekee haziwezi kuwapa majibu. Mke wa Bashe inasemekana anapokea pesa kwenye mabegi.

Kuna haja ya kuanza kuwafangia viongozi wetu LIFE STYLE AUDIT.
Maza ni mdini sn, angekuwa mkristo amefanya hivyo angetengua haraka sn
 
Nchi imeoza hii, yaani ni kero kwa mtanzania wa kawaida.

Kuna majambo yanahitajika ili nchi ikae sawa.
 
Kwahiyo viongozi ambao wananchi maskini tumewapa dhamana ya kutuongoza wanatengeneza mfumo wa kujinufaisha wao huku wananchi wakiumia?
 
Loh !πŸ™„
Halafu machawa wengine wanadiriki kusema Wananchi hawalipi kodi kumbe wanatozwa mpaka zile fidia za fedha za nifae leo nikufae kesho πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³

But you know what ?? They don’t care they don’t give a damn about all these critics whatsoever !
Because they’re holding the four aces πŸ™„β­•οΈ
 
Wenzake waliona pale hamna mtu yeye akakaza fuvu!

Katiba kitu gani bhana mbele ya hawa mchwa?
wenzake walitaka kufanya makaratee waliona pale hakuna mtu ila hawakuwa na namna katiba ikafuata mkondo wake. Je, ndani ya chama chao watamruhusu achukue fomu ya kugombea, ni muhula wake wa kwanza au?
 
Mkuu 'Tlaa', una kazi ngumu mno. Na itaendelea kuwa ngumu kwelikweli kadri tunavyo elekea 2025.

Itabidi niwe macho zaidi na kufuatilia kwa karibu zaidi hali yako itakavyo kuwa ikibadilika, kama hutazimia kabla ya kipenga cha mwisho.
Ni mnufaika wa mfumo kwahiyo usitegemee changes kutoka kwake maana jamaa wakienda na maji na yeye atakuwa miongoni mwao πŸ˜…β­•οΈ
Inner circle ⭕️ πŸ™„
 
wenzake walitaka kufanya makaratee waliona pale hakuna mtu ila hawakuwa na namna katiba ikafuata mkondo wake. Je, ndani ya chama chao watamruhusu achukue fomu ya kugombea, ni muhula wake wa kwanza au?
Nani mwenye ubavu wa kumzuia asigombee ??
URAIS ni Taasisi kubwa na Uenyekiti wa Chama ni Taasisi kubwa pia πŸ™„

Hayupo peke yake na wote waliomzunguka wana nguvu kubwa maana Nguvu ya Mamba iko kwenye maji na wao wamo ndani ya maji !

Wanaoguna guna wako nje ya maji hawana nguvu 😳🀠🀠
 
Rushwa kwenye vibali vya sukari si jambo geni. Limekuwa likijirudia kila mwaka. Kwa maelezo ya wajuzi kuna kipindi kila mwaka kunakuwa na uhaba wa sukari na hapo ndiyo biashara ya vibali hufanyika.
Inasemekana hiyo biashara ina faida kuliko ngada au ni namba 2,
 
acha upotoshaji kamanda πŸ’

kiongozi wa walevi nchini ni chairman wenu πŸ’
 
Arudi kwao chambawima akaendeleze mipasho yake na wachambawima wenzie akwende zake kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…