Pre GE2025 Itigi: Tundu Lissu adai kila Mfanyabiashara alitoa Rushwa ya Tsh Bil 9 ili kupata kibali cha Kuagiza Sukari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo wanampuuza hivi sasa kwani Zamani hawakumpuuza? Au unasemaje Chawa?
zamani alijifanya so special than special itself πŸ’

alivyoaanza kuomba omba tu kuchangiwa wanainchi, licha ya kulipwa mamilioni ya fedha na Bunge, wakajua hili ni Tatizo na sasa hawataki tena, jitu zima na akili na nguvu zake linaomba omba kweli?πŸ’
 
He is still special except for haters like you
 
Watu watakuja humu kuulizia ushahidi. Yaani the charge of life style pekee haziwezi kuwapa majibu. Mke wa Bashe inasemekana anapokea pesa kwenye mabegi.

Kuna haja ya kuanza kuwafangia viongozi wetu LIFE STYLE AUDIT.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-06-01-12-24-33-217_com.instagram.android.jpg
    377.2 KB · Views: 1
Tajiri wa Chalinze na mbunge wao Kwa kushirikiana na waturuki sijui waliouziwa maliasil yetu ipi wamechinja ng'ombe 1500 ungeenda kuchukua nyama. Kweli Bashiru na Ndugai tutawakumbuka. Kama CCM wanavunja Katina Kwa nini hawakuachiwa wakaitikisa tu.
Hiyo ndiyo Msoga Kingdom!
 
Issue Kama hizi ndizo zinatoa uhalali kwa JPM kuchukua fedha kwenye akaunti ya mfanyabiashara! Yes he was right!

Haiwezekani mfanyabiashara afanye ufisadi wa kuhujumu nchi, na kujitengenezea mabilion ya fedha kwa kuumiza wanyonge, then umtazame tu

Vyombo vya Usalama vikithibitisha kuwa mfanyabiashara amefanya hujuma ya kujipatia billions, nyang'anya pesa zote zikajenge fly over ili raia walioteseka kwa hujuma waende wakafurahie kuseleleka kwenye fly over!

Amiri jeshi kumpeleka mahakamani mhujumu wa Taifa lako ni aibu
Takukuru ndio wafanye hio kazi ya kupeleka watu mahakamani!


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana!!?..na mnataka muaminiwe kwa maneno ya kusemekana!?..anapokea hela kwenye mabegi,kila siku,toka kwa nani!?..ni pesa haramu!?..acheni unafikiri na uchakubimbi,haipendezi kwa mtu mwenye korodani na ndevu
Hutaki , ACHA .... Lakini huo ndio UKWELI wenyewe.
 
Wanaobisha wamfungulie mashtaka
 
Ni mnufaika wa mfumo kwahiyo usitegemee changes kutoka kwake maana jamaa wakienda na maji na yeye atakuwa miongoni mwao πŸ˜…β­•οΈ
Inner circle ⭕️ πŸ™„
Usione hawa sasa hivi wakifaraghua kama wanavyofanya, chombo kikianza kuyumba ndio wa kwanza kujirusha nje kupigania uhai wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…