Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
naam,hatakubali ccm ife mikononi mwake itakuwa aibuUmewauliza swali gumu sana Vibendera
Na ngojea uone kama kuna mwenye jambo la Maana toafuti na Ukibendera wao tu
Yaani Magufuli Ashindwe na Lisu kabisa Hizo ni Ndoto za Kichaa
naam,hatakubali ccm ife mikononi mwake itakuwa aibu
Board ya Mikopo ya Elimu ya Juu.Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.
Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
Wakuiua naninaam,hatakubali ccm ife mikononi mwake itakuwa aibu
Chuki Mbaya sanaAmfunge Magufuli jela
Wewe na Nani?Hili ndani ya siku 100 za kwanza tunalitoa
yeye anapofunga wenzie kwa uhujumu uchumi kwa hila anaona raha. Wako wapi kina Saanane,Mawazo na Azory. ana muda nao? Kwanza hata hapo nimemuone huruma anatakiwa afungwe maisha au life sentenceChuki Mbaya sana
Na Bahati hiyo Hatoipata Ataishia kutumika tu kama Kaptula