Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

"AKILI NDOGO IKITAWALA AKILI KUBWA NIMMATATIZO* MADINI KWENYE SHIKINGI 100 MNACHUKUA SH 4.WANACHIMBA MADINI MIAKA 100.

akili kubwa ipi? kufukuza wabunge kisa wameenda bungeni ndo akili kubwa? what type of non sense is this
 
Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka.

Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea Tundu Lissu anashinda kiti cha uraisi, na akakuambia toa pendekezo ni kitu gani ambacho Magufuli alikifanya nikiondoe au kukikomesha mara moja, utapendekeza nini?
Achakutupotezea muda ukijuwa kabisa Tundu hawezi kushinda Urais. Yani ni Bwana mdogo Sana Kwa Magufuli na CCM na yeye anajuwa.
 
Back
Top Bottom