Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaHilo linawezekana na itashughulikiwa kwenye katiba mpya 2026, no problem
Mlikuwa hamjui kutakuwepo na mvua hadi mshindwe kujipanga?sasa mafuriko aje tena na hiyo ni natural calamity
nikiri kwa niaba ya serikali kwa kuchelewa kuupgrade mradi ule kwa wakati. Kwasasa serikali inajipanga kutekeleza miradi ule na kukamilisha mapema iwezekanavyo, fedha zimeshapatika, upembuzi yakinifu ulisha fanyika na sasa ni utekelezaji tu, uwepo wa subra na ustahimilivu ni Muhimu sana...Mlikuwa hamjui kutakuwepo na mvua hadi mshindwe kujipanga?
Ile barabara iliyofungwa ni mara ya kwanza kufungwa kisa mafuriko?
fuatilia vema na kwa uhakika sakata hilo, utabaini serikali haipaswi kulaumiwa ispokua individuals,Mliahidi nini?
Mmetekeleza nini?
Mnasonga mbele kwenda wapi mjamzito anakufa kwa kukosa 150k?
Nifuatilie nini?fuatilia vema na kwa uhakika sakata hilo, utabaini serikali haipaswi kulaumiwa ispokua individuals,
Sera iko wazi,
Hilo ni tatizo binafsi na serikali inachukua hatua stahiki kwa wahusika wote
la miundombinu nimesha kujibu hatua zinazochukuliwa na serikali hapo juu,Nifuatilie nini?
Sera gani hiyo?
Hatua gani serikali inachukua wakati leo tu uzi umeletwa hapa watu wanasubiri usafiri wa UDART zaidi ya saa 2 +, kwani ni mara ya kwanza?
Njia za gari za UDART kujaa maji na kushindwa kupita imeanza leo?
Think again.
Na wewe humu uliwahi sema ni waziri?la miundombinu nimesha kujibu hatua zinazochukuliwa na serikali hapo juu,
Sakata la mjamzito pia nimelieleza vema....
Nitakwama tu kwenye kukuridhisha kwasababu hilo ni jambo la kibibafsi..
Irrelevant ane diversionary question.hili igizo halijawahi kuthibitika na kuleta badiliko lolotsee....
Tuliahidi, tumetekeleza, tunasonga mbele....
😅nimefurahi sana,Na wewe humu uliwahi sema ni waziri?
Napata shaka sana kwa aina ya mawaziri wa zama hizi maana uwaziri umekuwa kama uwakilishi wa kikundi cha mtaani.
The state is totally doomed.
Hakuna upotoshaji nillioleta hapa.😅nimefurahi sana,
Zingatia basi ninachokuelekeza kuhusu masuala mbalimbali humu nchini ili kuepuka kupotoshwa,
Itakusaidia sana nawe utasaidia wengine kupata usahihi na uhakika wa Mipango, mikakati na Matarajio ya kimaendeleo ya muda mfupi, kati na mrefu....
Gentleman,Hakuna upotoshaji nillioleta hapa.
Leo watu wamelalamika usafiri wa UDART ulikuwa wa shida.
Hapo kabla ilionekana gari 70 ziliharibika je hawa UDART hawana mafundi hadi gari zimeharibika ndio RC atoe maagizo zitengenezwe?
Je baada ya maagizo kuna mtu alifuatilia kujua kama gari zilitengenezwa?
Kama hazikutengenezwa nani awajibike kwa uzembe huo unaowaletea usumbufu wananchi?
View attachment 2814635
tafadhali ndugu yangu,Umetoka kwenye PROPAGANDA ZA UKIMWI na ARV sasa UMERUKIA kwenye SIASA!!!
Unapiga jaramba kulia na kushoto.
Itoshe tu kusema kwamba UNAUPIGA MWINGI.
Tlaatlaah, Ni bahati mbaya CCM inaongoza Tanzania ambako wananchi wake ama wamekata tamaa, wasomi wamekubali kujipendekeza ili kupata teuzi au uelewa mdogo wa wananchi kama alivyothibitisha Rais Samia mwenyewe kwenye hotuba yake kuhusu katiba mpya.Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.
Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.
Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.
Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.
Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Rasilimali zetu zipo katika mikono salama ya mzalendo wa kweli mama samia suluhu Hasssan ,ambaye anaendelea kuitumikia nchi yetu kwa upendo wa hali ya juu sana.Bandari zetu hazitauzwa, kukodishwa, Wala kubinafsishwa Kwa wageni.
Maandamano Yako pale pale.
ndugu yangu mbussi,Tlaatlaah, Ni bahati mbaya CCM inaongoza Tanzania ambako wananchi wake ama wamekata tamaa, wasomi wamekubali kujipendekeza ili kupata teuzi au uelewa mdogo wa wananchi kama alivyothibitisha Rais Samia mwenyewe kwenye hotuba yake kuhusu katiba mpya.
Tuwe wakweli, CCM imechokwa hasa tangu kipindi cha utawala wa Rais Kikwete. Na kama siyo uoga wa Watanganyika kuruhu CCM itawale kwa nguvu kupitia kiini macho cha uchaguzi uliojaa rafu, wizi wa kura, matumizi ya vyombo vya dola na tume bandia ya uchaguzi, ni muda mrefu sana tungekuwa tumeisha sahau kuwa CCM iliwahi kuunda serikali Tanganyika. Naongea Tanganyika kwasababu kwa kule Zanzibar inaeleweka wazi kuwa CCM haijawai kushinda uchaguzi tangu enzi za Salmin Amour. Nguvu ya dola imekuwa ikitumika kutangaza matokeo ya bandia muda wote na ilifikia kilele chake kipindi cha Jecha.
Jinga wakubwa nyie, wekeni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sasa