Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

Mlikuwa hamjui kutakuwepo na mvua hadi mshindwe kujipanga?

Ile barabara iliyofungwa ni mara ya kwanza kufungwa kisa mafuriko?
nikiri kwa niaba ya serikali kwa kuchelewa kuupgrade mradi ule kwa wakati. Kwasasa serikali inajipanga kutekeleza miradi ule na kukamilisha mapema iwezekanavyo, fedha zimeshapatika, upembuzi yakinifu ulisha fanyika na sasa ni utekelezaji tu, uwepo wa subra na ustahimilivu ni Muhimu sana...
 
Mliahidi nini?

Mmetekeleza nini?

Mnasonga mbele kwenda wapi mjamzito anakufa kwa kukosa 150k?
fuatilia vema na kwa uhakika sakata hilo, utabaini serikali haipaswi kulaumiwa ispokua individuals,
Sera iko wazi,
Hilo ni tatizo binafsi na serikali inachukua hatua stahiki kwa wahusika wote
 
fuatilia vema na kwa uhakika sakata hilo, utabaini serikali haipaswi kulaumiwa ispokua individuals,
Sera iko wazi,
Hilo ni tatizo binafsi na serikali inachukua hatua stahiki kwa wahusika wote
Nifuatilie nini?

Sera gani hiyo?

Hatua gani serikali inachukua wakati leo tu uzi umeletwa hapa watu wanasubiri usafiri wa UDART zaidi ya saa 2 +, kwani ni mara ya kwanza?

Njia za gari za UDART kujaa maji na kushindwa kupita imeanza leo?

Think again.
 
la miundombinu nimesha kujibu hatua zinazochukuliwa na serikali hapo juu,
Sakata la mjamzito pia nimelieleza vema....

Nitakwama tu kwenye kukuridhisha kwasababu hilo ni jambo la kibibafsi..
 
Ukisema kisiki cha mpingo namkumbuka huyo dada wa mbeya anaefanana kbs na kinyago vha mpingo cha kimakonde, anafaa kuwekwa makumbusho.
 
la miundombinu nimesha kujibu hatua zinazochukuliwa na serikali hapo juu,
Sakata la mjamzito pia nimelieleza vema....

Nitakwama tu kwenye kukuridhisha kwasababu hilo ni jambo la kibibafsi..
Na wewe humu uliwahi sema ni waziri?

Napata shaka sana kwa aina ya mawaziri wa zama hizi maana uwaziri umekuwa kama uwakilishi wa kikundi cha mtaani.

The state is totally doomed.
 
hili igizo halijawahi kuthibitika na kuleta badiliko lolotsee....

Tuliahidi, tumetekeleza, tunasonga mbele....
Irrelevant ane diversionary question.

Stickers are not ballot papers you can only rig an election by marking ballot papers or entering spurious tallies on the transmission form or on electoral portal..

THINK.
 
Na wewe humu uliwahi sema ni waziri?

Napata shaka sana kwa aina ya mawaziri wa zama hizi maana uwaziri umekuwa kama uwakilishi wa kikundi cha mtaani.

The state is totally doomed.
😅nimefurahi sana,
Zingatia basi ninachokuelekeza kuhusu masuala mbalimbali humu nchini ili kuepuka kupotoshwa,
Itakusaidia sana nawe utasaidia wengine kupata usahihi na uhakika wa Mipango, mikakati na Matarajio ya kimaendeleo ya muda mfupi, kati na mrefu....
 
Hakuna upotoshaji nillioleta hapa.

Leo watu wamelalamika usafiri wa UDART ulikuwa wa shida.

Hapo kabla ilionekana gari 70 ziliharibika je hawa UDART hawana mafundi hadi gari zimeharibika ndio RC atoe maagizo zitengenezwe?

Je baada ya maagizo kuna mtu alifuatilia kujua kama gari zilitengenezwa?

Kama hazikutengenezwa nani awajibike kwa uzembe huo unaowaletea usumbufu wananchi?
images (35).jpeg
 
Umetoka kwenye PROPAGANDA ZA UKIMWI na ARV sasa UMERUKIA kwenye SIASA!!!

Unapiga jaramba kulia na kushoto.

Itoshe tu kusema kwamba UNAUPIGA MWINGI.
 
View attachment 2814635
Gentleman,
Kazi inaendelea, maagizo ya Mkuu wa mkoa yanatekelezwa kwa bidii sana usiku na mchana na mh.Rais Dr.SSH haachi kumuuliza Mkuu wa mkoa na waziri mwenye dhamana kila siku kuhusu status jambo hilo.

Na kwa muda usiokua mrefu mabasi yale yataingia barabarani kutoa huduma.
Pamoja na hayo, yapo mabasi mengine mapya ya kutosha yanakuja kutokana na kupanuka kwa mradi huu katika maeneo mbalimbali jijini dar es salaam na majiji mengine nchini.

Muhimu zaidi ni kuona uwezekano wa kuhusisha wabia wengine wa usafirishaji kutoa huduma ili kuboresha na kurahisisha huduma hizo na kuondoa kero wanazokumbana nazo watumiaji wa mabasi hayo..

Nitoe pole kwa usumbufu wanaoupata abiria wote wanaotumua huduma za mradi huu na nitoe wito wa subra na ustahimilivu wakati serikali inashughulikia jambo hilo..
 
Umetoka kwenye PROPAGANDA ZA UKIMWI na ARV sasa UMERUKIA kwenye SIASA!!!

Unapiga jaramba kulia na kushoto.

Itoshe tu kusema kwamba UNAUPIGA MWINGI.
tafadhali ndugu yangu,
ukimwi hauchagui mototo au mkubwa, Maskini au tajiri.
Ukimwi hauna siasa wala propaganda...
Jihadhari na UKIMWI
Baki njia kuu, mchepuko sio dili.....
 
Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.

Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za uchaguzi.

Ndio chama pekee chenye uwezo wa kisimamisha wagombea katika maeneo yote na vituo vyote vya kupiga kura nchini.

Ndicho chama chenye uwezo na uhakika wa kushinda uchaguzi wa Rais, ubunge,udiwani na serikali za mitaa kwa kishindo.

Ndicho chama pekee kinachoweza kufanya uchaguzi wa ndani na kubadili uongozi wa juu mpaka chini.

Ama kwa hakika, mbdala wa CCM kwenye siasa za Tanzania, hajazaliwa bado. Matumaini na Matarajio ya Maendeleo ya Watanzania ni kwa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu chama cha Mapinduzi.
Tlaatlaah, Ni bahati mbaya CCM inaongoza Tanzania ambako wananchi wake ama wamekata tamaa, wasomi wamekubali kujipendekeza ili kupata teuzi au uelewa mdogo wa wananchi kama alivyothibitisha Rais Samia mwenyewe kwenye hotuba yake kuhusu katiba mpya.

Tuwe wakweli, CCM imechokwa hasa tangu kipindi cha utawala wa Rais Kikwete. Na kama siyo uoga wa Watanganyika kuruhu CCM itawale kwa nguvu kupitia kiini macho cha uchaguzi uliojaa rafu, wizi wa kura, matumizi ya vyombo vya dola na tume bandia ya uchaguzi, ni muda mrefu sana tungekuwa tumeisha sahau kuwa CCM iliwahi kuunda serikali Tanganyika. Naongea Tanganyika kwasababu kwa kule Zanzibar inaeleweka wazi kuwa CCM haijawai kushinda uchaguzi tangu enzi za Salmin Amour. Nguvu ya dola imekuwa ikitumika kutangaza matokeo ya bandia muda wote na ilifikia kilele chake kipindi cha Jecha.
 
Bandari zetu hazitauzwa, kukodishwa, Wala kubinafsishwa Kwa wageni.

Maandamano Yako pale pale.
Rasilimali zetu zipo katika mikono salama ya mzalendo wa kweli mama samia suluhu Hasssan ,ambaye anaendelea kuitumikia nchi yetu kwa upendo wa hali ya juu sana.
 
Tlaatlaah, Ni bahati mbaya CCM inaongoza Tanzania ambako wananchi wake ama wamekata tamaa, wasomi wamekubali kujipendekeza ili kupata teuzi au uelewa mdogo wa wananchi kama alivyothibitisha Rais Samia mwenyewe kwenye hotuba yake kuhusu katiba mpya.

Tuwe wakweli, CCM imechokwa hasa tangu kipindi cha utawala wa Rais Kikwete. Na kama siyo uoga wa Watanganyika kuruhu CCM itawale kwa nguvu kupitia kiini macho cha uchaguzi uliojaa rafu, wizi wa kura, matumizi ya vyombo vya dola na tume bandia ya uchaguzi, ni muda mrefu sana tungekuwa tumeisha sahau kuwa CCM iliwahi kuunda serikali Tanganyika. Naongea Tanganyika kwasababu kwa kule Zanzibar inaeleweka wazi kuwa CCM haijawai kushinda uchaguzi tangu enzi za Salmin Amour. Nguvu ya dola imekuwa ikitumika kutangaza matokeo ya bandia muda wote na ilifikia kilele chake kipindi cha Jecha.
ndugu yangu mbussi,
nafurahi kwa ungwana wako katika hili.
CCM haiongozi nchi kwa bahati mbaya, inaongoza nchi kwa kuaminiwa na wananchi kwa njia ya kura na kupewa dhamana na fursa ya kuongoza nchi na kuwaletea wananchi hao maendeleo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio sababu tunaona huduma zote zimeboreshwa nchini, matumaini na matarajio ya wananchi kwa CCM yameimarika mara dufu...

Kama kuna wananchi wamekata tamaa nchini, basi wamekata tamaa kuwaunga mkono wapinzani ambao kwa muda mrefu wamewapatia ahadi na matumaini hewa yasiyotekelezeka na hatimae wamebaini kwamba kumbe jamaa ni wasakatonge tu, wala sio wateteze wa wanyonge. Ndio kwasababu umeona wapinzani na wafuasi wao wamegawanyika matita matita hawana uelekeo tena.....
Sasa katika hali hiyo unategemea mwenye elites timamu aambatane nao, surelly?

Rafu za uchaguzi, wizi wa kura, sijui tume ya uchaguzi, sijui dola, sijui uoaga wa wananchi vimebaki kua visingizio na sababu za wapinzani kujitetea kwa wafuasi wao....
CCM haitajali wala kubabaika na sababu hizo...

Chama cha Mapinduzi daima hakitarudi nyuma katika kusimamia ilani yake ya uchaguzi maadili, haki, uhuru, usawa, uwazi na uwajibikaji wa serikali inazounda ili kusudi kukonga nyoyo na Matarajio ya wananchi wote wa Tanzania bila kujali chama, dini, rangi wala kabila zao...
 
Back
Top Bottom