Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

P Pole😄😄😄
 
Uliwahi kukemea Hotuba za MAKANISANI kila JUMAPILI?
 
Hii ya Ramadhani iko hata kabla ya Uhuru,na Mwalimu Nyerere,alikuwa akivyaa kofia za kiislamu na kanzu pia akivyaa na vile vile Magufuli alikuwa akivyaa kanzu na kofia,na wote wakifuturisha na kushiriki katika shughuli za kiislamu,walikuwa wadini?Rais Ali Hassan Mwinyi,alikuwa pia akishiriki shughuli za kikristo,mpaka alifugua kanisa,lililokufa miaka mia iliyopita,je alikuwa mdini?Mkapa ,kikwete wote wameshiriki kwenye shughuli za dini zote,walikuwa wa dini?
 
Kwaresma haichukuliwi kwa uzito hata kwa wakristo wenyewe, kama ilivyo mfungo wa ramadhani kwa waislamu.

Umeenda mbali sana kimawazo tofauti na uhalisia!
 
We inaonekana mitihani ulikuwa unafeli hatari..!!! Unaulizwa hiki unajibu kile..!!
Itakua unazungumzia mitihani ya 'jaza nafasi iliyoachwa wazi, multiple choice '...mantiki ni hata yeye mwenyewe hafungi kwarezma,hata EPL hawajaweka muda wa kufuturu kwa mtu aliyefunga kwarezma, lakini wameweka kwa mfungaji wa Ramadan
 
Inaonekana unaijua sana mioyo ya Waislamu kuliko wanavyojijua wao wenyewe na Mungu wao... CONGRATULATION!

Ikiwa unaweza kuitambua mioyo ya mabilioni ya watu pamoja na yule wanayeamuamini basi utakuwa na Upako wenye nguvu kubwa za kitakatifu!!
 

Mt 6:17-18 SUV​

Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
 
logic ni kwamba wale ni viongozi wa juu wa kitaifa protocal inawalizimisha kushiriki shughuli za kitaifa hata kama hawaamini dini hiyo ili tu kubalansi mambo na ieleweke ndani ya serikali kuna watu wa imani zote kuu. Hata hivyo mwalimu hakuedekeza udini, aliukemea kila alipopata wasaa wa kuzungumza mambo ya kitaifa
 
Si tulikubaliana kuwa sisi hatuna mambo ya kulalamika na hiyo ni comupleksi inferiority ?
kwa hili hapana, mwageni na heri za mfungo wa kwaresma. Na baadaye tuone mkimwaga heri za pasaka kwa mashabiki zenu, hapo mtabalansi udini
 
Inawezekana kwaresma haifahamiki vyema kutokana na kutukuzwa na jamii ya wakristo wa kikatoliki. Jamii ya wakristo duniani ni wengi kuliko waislam. Si wakristo wote wanaotambua kwaresma kama ilivyo kwa waislam wote kwa ujumla kuitukuza ramadhan. Acheni wapeane heri maana ni wachache duniani
 
Hahahahahaha umehamia kwenye uchache na wingi utabwata sana tu

Orodha ya timu zilizo wish Ramadhan ni
hizi

Arsenal
Man U
Chelsea
Barcelona
Real Madrid
Yanga na
Simba
Nk
Kazi kwako na roho mbaya yako
Kwa hiyo umeonesha tuko wachache lakin tuna nguvu ya ushawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…