Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

Inaonekana unaijua sana mioyo ya Waislamu kuliko wanavyojijua wao wenyewe na Mungu wao... CONGRATULATION!

Ikiwa unaweza kuitambua mioyo ya mabilioni ya watu pamoja na yule wanayeamuamini basi utakuwa na Upako wenye nguvu kubwa za kitakatifu!!
Ipo wazi. Ndio ukweli, mnafunga ili mle vizuri, yani nyie ramadan ndio muda wa maakuli yani, mwezi kulakula. Hakuna kitu hapo🤣🤣
 
Wapo wanaofunga kweli ila wengine hufwata daku na futari maana kwakweli mapishi yao ni matamu.
Hawafungi wale, ni mwezi kulakulaa, focus ni kula kula tu ndio maana ata bei ya vyakula hupanda. Wapo kimsosi zaidi sio kiroho.
 
Hahahah umeuaaa 😅mpatie uji wa pilipili manga yule pale bakuli lijae 😅😅
Kwani uongo? Yani ni muda wa maakuli yani. Wanawaza futari muda wote. Kazi kweli kweli, ila wakristo wenzao Walishaadvance muda sana, suala la kula hovyo na ulaku wanalo wao.
 
Kwaresma sio mfumo wa wakristo wote, ni sehemu tu ya wakristo.

Krismas na pasaka ndio hua sherehe inayowajumlisha wakristo wengi zaidi ingawa sio wote ndio maana hizo hupewa kipaumbele kidogo.

Ramadhani ni mfungo ama ishu inayohusu waislamu wote ndio maana inapewa kipaumbele.

Mwisho, dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo na kama alikuwepo alishakufa siku nyingi sana huko nyuma.
Wakristu ni wakatoliki. Hao unaowasema wengine ni nani labda? Ukristo ni ukatoliki. Na ukatoliki una kwaresma, yani Quadriagesma. Usikurupuke kama hujui.
 
Hii ya Ramadhani iko hata kabla ya Uhuru,na Mwalimu Nyerere,alikuwa akivyaa kofia za kiislamu na kanzu pia akivyaa na vile vile Magufuli alikuwa akivyaa kanzu na kofia,na wote wakifuturisha na kushiriki katika shughuli za kiislamu,walikuwa wadini?Rais Ali Hassan Mwinyi,alikuwa pia akishiriki shughuli za kikristo,mpaka alifugua kanisa,lililokufa miaka mia iliyopita,je alikuwa mdini?Mkapa ,kikwete wote wameshiriki kwenye shughuli za dini zote,walikuwa wa dini?
Kofia ya kiislam? 🤣 🤣 Machizi wamejaa sana humu. Waarabu wote kwani waislam?
 
Kwaresma haina kiki, ni kama ulinganishe Christmas na Eid, Xmas inakiki zaidi. Anyway, Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia
 
Kwaresma haina kiki, ni kama ulinganishe Christmas na Eid, Xmas inakiki zaidi. Anyway, Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia
sasa huu ugonjwa unaingizwa mpaka kwenye timu za mpira
 
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Me nazani post za udini na promo za dini kwenye mitandao Wala hakibadilishi chochote, vifaa vyetu vya tehama tunavyotumia vina mambo mengi na mengine hata ayaendani na udini na nimabaya sawa na Yale tunayoyatenda(mungu pekee ndiye anayejua) na hao wanaopost aimaanishi kuwa wako safi, Bali wanawishi tu wengine kwakuwa wanachukulia uzito jambo lao. Lakini pia kwaresma haipewi uzito uenda labda sie wakatoliki tunashindwa kuipromote kama wanavyofanya wengine.
All in all mtoa mada kama wewe n mkatoriki fungua umrudie muumba wako, sali daily rozari na sala zingine za Kila siku. Ukitaka ufahari kuipigia promo kwarezma basi post misalaba tu uitangaze kwarezma. "IMANI YAKO NDIYO ITAKAYO KUPONYA" [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwaresma hta askofu hafungi.

Imechukuliwa kama ratiba ya kila mwka tu.
 
Kwaresma haina kiki, ni kama ulinganishe Christmas na Eid, Xmas inakiki zaidi. Anyway, Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia
Hizo Sikukuu inategemea uko mkoa upi? Mfano ukiwa TANGA Xmass haijulikani
 
Lete bango la kwaresma walilo wish manchester united

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hiyo ni timu ya england wewe hujui dhehebu kuu linaongoza taifa hilo ni lipi? Umekariri kwaresma kuwa inaadhimishwa na wakristo wote. Kuna wakristo hawajui hicho ni kitu gani. Labda nikusaidie ufahamu kuwa kwaresma ni kwa wakatoliki na wenye mafundisho yanayofanana na wakatoliki. We ni muislam gani usiyejua dini na madhehebu yaliyopo duniani? Kama ya dunia huyajui unawezaje kuyajua ya nchini mwako? Nadhani hutoshi kuwa muislam bali ulizaliwa ukajikuta ni mwislam ukaridhika na uislam na kuifanya akili yako isipanuke kujua nadharia za dini zote zilipo duniani malengo yake ni nini hasa
 
@LOTH HEMA unateseka ukiwa wapi??? Huna kumbukumbu au hutumii smartphone
Mbona Christmas ikikaribia miezi miwili kabla ni promo Kila sehemu Hilo nalo hulioni Kila mwaka??? Yan Simba na yanga kuweka hivyo tu ni nongwa???

Mbona clubs kubwa tu Duniani zimeandika ramadhani mubaraka?? Real Madrid ,Chelsea ,Liverpool

Hizo nazo zipo bias na uislamu???

Acheni roho za kwann basi wenzetu .hata kama mna chuki zenu jaribu kuzificha kwanza basi ,sisi tumechoka kusema Kila siku kuwajibu nyinyi

Acheni upuuzi na vitu vidogo vidogo.
Kwel kabisa hawa jamaaa ni wanachuki za waziwazi nini shida hawa ndio wana udini sasa wanataka kila Jambo wao wawe juu ni ujinga na upuuzi tu
 
Back
Top Bottom