Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

Inawezekana kwaresma haifahamiki vyema kutokana na kutukuzwa na jamii ya wakristo wa kikatoliki. Jamii ya wakristo duniani ni wengi kuliko waislam. Si wakristo wote wanaotambua kwaresma kama ilivyo kwa waislam wote kwa ujumla kuitukuza ramadhan. Acheni wapeane heri maana ni wachache duniani
Sensa umefanya lini?
 
hiyo ni timu ya england wewe hujui dhehebu kuu linaongoza taifa hilo ni lipi? Umekariri kwaresma kuwa inaadhimishwa na wakristo wote. Kuna wakristo hawajui hicho ni kitu gani. Labda nikusaidie ufahamu kuwa kwaresma ni kwa wakatoliki na wenye mafundisho yanayofanana na wakatoliki. We ni muislam gani usiyejua dini na madhehebu yaliyopo duniani? Kama ya dunia huyajui unawezaje kuyajua ya nchini mwako? Nadhani hutoshi kuwa muislam bali ulizaliwa ukajikuta ni mwislam ukaridhika na uislam na kuifanya akili yako isipanuke kujua nadharia za dini zote zilipo duniani malengo yake ni nini hasa
Maneno kibao lakin ni porojo tu acha bangi narudia

Wewe kime kuuma nini yanga na simba kuwish ramadhani wakati timu nyingi duniani zimewish

Alafu unaleta porojo

Kwani wewe mkatolik kama sio kimekuuma nini mpuuzi mmoja wewe

Alafu lnesha mahala nimesema kwaresma ina fungwa na wakristo wote duniani
Yani mnataka watu wa wish kitu ambacho nyie wenyewe mnamashaka nacho si upumbavu huo
 
Hawafungi wale, ni mwezi kulakulaa, focus ni kula kula tu ndio maana ata bei ya vyakula hupanda. Wapo kimsosi zaidi sio kiroho.
Ila misosi ndo wanaifaidi kwakweli, dhana ya mfungo wa waislam na wakristo ni tofauti kabisa kabisa.
 
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
KAFIRI wewe
 
Iko hivi

Waislam wengi wanajali siku za mwezi wa mfungo wa ramadhan wanaoita mwezi mtukufu, lakini wanafunga kwa Mazoea wala hawabadiliki

Kwa mfano, Mtu anajizuia kula kuanzia asubuhi mpaka saa 12 jioni kisha akifungua tu anaanza na sigara

Binti unamtongoza anakukubalia lakini anakuambia subiri mwezi mtukufu ukiisha ndio akupe mzigo

Sasa huyu amefunga au anamchezea Mwenyezi Mungu na kuidanganya nafsi yake mwenyewe?

Wapo Wakristo wanaofunga seriously (na hawali daku) ila hawasemi, na wanaomba vizuri tu.
Screenshot_20230324-064550~2.jpg
 
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792
Wakristo hatujali sana,na wala hatuna muda wa kufuatilia hayo mambo
 
Kitu Cha kufahamu wewe mtoa mada ni kwamba, Dini ya kiislam inanguvu Kubwa kama nguvu ilizonazo hizo Timu.
Huwezi fananisha Uislam na dini yoyote Tz hii.
Huu ndio Ukweli kama hutaki basi
 
Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli

Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema

Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema
Huu ni ubaguzi
Hata kama hizi club asili yake ni kariakoo eneo lenye waislamu wengi
Hata kama waweka pesa ni waislamu ila club zina rundo la wanachama na mashabiki wakristoView attachment 2562792Wakristu hatufungi ila tuna kipindi cha kwarezima elewa hilo, so it is not famous kama hawa suruali fupi.

lakini pia kiutamaduni na mapaokeo mfungo wa ramadhani ni famous sana, Mwisho kabisa kama umekereka kuwa mwisilamu na wewe utakiwe IDD Mubarakh
 
Kitu Cha kufahamu wewe mtoa mada ni kwamba, Dini ya kiislam inanguvu Kubwa kama nguvu ilizonazo hizo Timu.
Huwezi fananisha Uislam na dini yoyote Tz hii.
Huu ndio Ukweli kama hutaki basi
Hapana siyo kweli, sema hivi waislamu mnapenda attention sana
 
Haya mambo yakifumbiwa macho yatazoeleka na kuonekana ni ya kawaida na kuenea katika sekta zote za umma kana kwamba nchi ni ya kiislam. Upuuzi huu ulikemewa sana miaka ya nyuma hakukuwa na unasibishaji wa dini yoyote katika mambo ya umma. Sasa hivi watu hawana aibu wanashirikisha wenzao katika ibada zao mahali pasipo pake. Mara walishe watu futari, mara chinja isiyoeleweka malengo yake ni nini, ili mradi tu watu wote washirikishwe ibada zao kinamna bila kutumia nguvu. Haya mambo ya dini yalibaki hukohuko wanakoabudia, walipeana salamu zao hukohuko wanakokutania. Ofisi za umma kujazwa ibada za dini fulani huko ni kupotoka na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa uliojengwa tangu awali na wasisi wa taifa hili
Nyambafu....
 
MANCHESTER UTD, BARCA, LIVERPOOL, AC MILAN, REAL MADRID kama umeona wametoa heri ya Kwaresma niite mbwa nimekaa paleeeeee.

Wakristo mnaichukulia KWARESMA kama kitu cha kawaida na hamkipi uzito kuzidi BIRTHDAY YA YESU na KIFO cha YESU.
Ukristo ulaya na marekani unapumulia mashine. Wazungu suala la dini wamelitupilia mbali sana.
 
Back
Top Bottom