Itoshe tu kusema Mungu ni wa ajabu maake sio kwa mwanamke huyu

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo

Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi kumcheki mshkaji wangu ambaye nilikuwa naye pale UDSM kitambo kile

Wakati tukiwa nje ya fremu yake, kaja binti mmoja, dah! sijapata kuona! Oh My Guard! Mwonekano wake huu namna hii

1) Macho ya huruma. Yaani akikukata hilo jicho kama ni mtu wa kulia lia na dunia ni lazima utiririshe machozi kama sio makamasi ya lasha lasha. Ndugu msomaji, huyu ukifumania halafu akakwambia baby huyu si mimi huku anakutazama unaweza dhani unaota hata kama umemfuma anaekwa mkuyenge

2) Rangi. Chocolate colour, halafu anang'aa ile mbaya

3) Hapo kifuani. mmh mmh mmh mmh mmmmh acha kabisa, acha

4) Udhaifu wetu. Hapo ndipo nilipochoka kabisaaaaa. Nimechoka chaka chaka, yaani ile kumuangalia akajihisi labda nguo yake imetatuka makalioni!, kumbe la hasha! Suruali yangu ndo ilikuwa inaelekea kutatuka

Nyie Nyie Nyie! Nimepigwa ganzi ya mwili na akili nimejikuta nashindwa kuzungumza jambo, yaani kiufupi amekwenda namuona

Itoshe tu kusema, Mungu ni fundi. Hakuna kama yeye. Siku nikibahatika kuonana naye tena nitafanya mpango nioe kabisa. Kwa sasa wacha nikamchukulie sheria tu
20250413_125342.jpg

NB: Picha haina uhusiano wowote ule na kisa kilichosimuliwa
 
Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo

Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi kumcheki mshkaji wangu ambaye nilikuwa naye pale UDSM kitambo kile

Wakati tukiwa nje ya fremu yake, kaja binti mmoja, dah! sijapata kuona! Oh My Guard! Mwonekano wake huu namna hii

1) Macho ya huruma. Yaani akikukata hilo jicho kama ni mtu wa kulia lia na dunia ni lazima utiririshe machozi kama sio makamasi ya lasha lasha. Ndugu msomaji, huyu ukifumania halafu akakwambia baby huyu si mimi huku anakutazama unaweza dhani unaota hata kama umemfuma anaekwa mkuyenge

2) Rangi. Chocolate colour, halafu anang'aa ile mbaya

3) Hapo kifuani. mmh mmh mmh mmh mmmmh acha kabisa, acha

4) Udhaifu wetu. Hapo ndipo nilipochoka kabisaaaaa. Nimechoka chaka chaka, yaani ile kumuangalia akajihisi labda nguo yake imetatuka makalioni!, kumbe la hasha! Suruali yangu ndo ilikuwa inaelekea kutatuka

Nyie Nyie Nyie! Nimepigwa ganzi ya mwili na akili nimejikuta nashindwa kuzungumza jambo, yaani kiufupi amekwenda namuona

Itoshe tu kusema, Mungu ni fundi. Hakuna kama yeye. Siku nikibahatika kuonana naye tena nitafanya mpango nioe kabisa. Kwa sasa wacha nikamchukulie sheria tuView attachment 3302735
NB: Picha haina uhusiano wowote ule na kisa kilichosimuliwa
Huyu mbona tayari kashakwaa grid ya Taifa???
Angalia mdomo 😂😂😂😂
 
Si kwa muunguzo huo na grid imeungwa toka Hydroelectric power sijui ya wapi huko
 
Back
Top Bottom