Pre GE2025 Itungwe sheria inayotoa adhabu dhidi ya wanaomtukana Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wasemwe kwa kauli zilizo na staha na siyo karaha
 
Hayo tote yatazingatiwa wakati wa utungaji na utekelezaji sheria husika
 
Kwani raisi sio mtu wa kawaida kama wengine? Raisi razima aambiwe kwa namna yoyote ile kwani kazi ya uraisi hajarazimishwa kuifanya kaiomba mwenyewe. Nani ya kutumikia wananchi wa kila Aina.
Rais ni mtu wa kawaida ila ni Kiongozi Mkuu wa taasisi ya juu kabisa nchini
 
Upumbavu ni kama vazi halijifichi alisema Mwl Nyerere
 
Sheria zipo, unless kama hujui. Sheria za kutoa adhabu kumkashifu mtu zipo. Kama mhusika anadai kukashfiwa aende mahakamani
 
Raisi yupi na sisi tulio wengi tunachagua raisi wetu anashinda uchaguzi hatangzwii kama maalim seif. vipi hiyo Sheria itatufiikiria pia

Namaanisha kati nchi ambayo mifumo ya uchaguzi imevurugwa

Kunakuwa naaraisi wengi, Kuna yule alitangazwa na Dola na yule aliyeshinda kihalali kama mh tundu Lisu.
Sheria yako itamuhusu nani?
 
Wasemwe kwa kauli zilizo na staha na siyo karaha

Hapana. Unachokisema siyo sahihi.
Anayekosea anastahili kuambiwa hata kwa lugha kali. Hubembelezwi ukikosewa.

Biblia inasema unapotakiwa kuonya, onya hata kwa ukali.

Kiongozi siyo malaika, anaweza kukosea, anaweza kuwa mwovu kupindukia kuwazidi hata majambazi. Ndiyo maana kuna viongozi wanaondolewa kwenye madaraka bila staha, wanashitakiwa, na kuna wengine wanahukumiwa hata kunyongwa hadi kufa.

Hivyo, tunatakiwa kuangalia kauli na vitendo vya Rais ili kutambua tuna kiongozi wa namna gani, na kisha kumpongeza, kumuonya, kumkosoa au hata kumfukuza kwenye uongozi kwa njia yoyote yenye tija kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…