Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Aliupamba utoto wa wengi kwa Katuni kama Scooby Doo, Double Dragons ya Billy na pacha mwezie na The Shadow Master [emoji3] , Popeye and Son wazee wa Spinach [emoji3], halafu kulikua na the flintstones[emoji3][emoji3] wanakwambia IyebedebedoooooooooSawa vizuri alizijua sana katuni yule jamaa
Double Dragons inaitwaKatuni moja ivi wanagusanisha mapanga juu wanakula dragon
Sauda Simba alikua anatangaza Habari kwa lugha ya Kingereza saa 5 usiku usimchukulie poa, haikua jambo dogo wakati huo.Ni kweli ila kuna ile kitu tunaita voice quality Gondwe kawazidi wengi hasa akiwa anatangaza
Sauda na Betty walikuwa watangazaji wa kawaida sidhani hata kama wanamfikia Fatma Almasi Nyangasa hasa usahihi na shauku katika usomaji
Nakumbuka enzi hizo ndio mzee wangu alinunua tv, kativii kadogo kama nchi 14 hivi kanawekwa kwenye kikabati maalum cha matairi. Kikabati kinafungwa mlango na kufuli.. kikabati kinakaa chumbani kwake usiku ndio kinavutwa kuletwa sebuleni kuangalia.. lazima muwe mmeoga ndio muangalie.. mwendo wa sunset beach itv na days of our lives ctn... life was good then!!Huo mwaka mzee alinunua tv,kipengele ikawa sauti,tukakomaa nayo mpk iliporekebishwa
🤣🤣🤣 bila kusahau ile ya Ed, Edd and Eddy na John BravoAliupamba utoto wa wengi kwa Katuni kama Scooby Doo, Double Dragons ya Billy na pacha mwezie na The Shadow Master, Popeye and Son wazee wa Spinach , halafu kulikua na the flintstones wanakwambia Iyebedebedooooooooo
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Namkumbuka alikuwa mtangazaji mzuriSauda Simba alikua anatangaza Habari kwa lugha ya Kingereza saa 5 usiku usimchukulie poa, haikua jambo dogo wakati huo.
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Naam Naam, Cartoons za Zamani zilikua Nzuri. Kuna moja Naitafuta jina lake mpaka leo Kulikua na mwamba mmoja ana pete wanaunganisha na wenzake nadhani zile pete zinawabadilisha wanakwenda ku save the community[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bila kusahau ile ya Ed, Edd and Eddy na John Bravo
Hakika.Namkumbuka alikuwa mtangazaji mzuri
sana kwenye kiingereza kuliko yule mzee jina nimelisahau
Ila kweye voice quality bado hakumfikia Fatma Almasi Nyangasa
Sio ile inaitwa Captain Planet 🤔Naam Naam, Cartoons za Zamani zilikua Nzuri. Kuna moja Naitafuta jina lake mpaka leo Kulikua na mwamba mmoja ana pete wanaunganisha na wenzake nadhani zile pete zinawabadilisha wanakwenda ku save the community
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Kina John Ngayoma.Mbona wengi wazuri wamepita pale
Mtu kama millard ayo
Sauda simba kilumanga
Betty mkwasa nk..
Yellow Page.Sarafina, Neria, Home Alone, Baby's Day Out siku za sikukuu ITV
Mimi naikumbuka Panasonic top dome, nilinunua laki tatu na sitini mwaka ' 93 nilikuwa naangalia KBC kenya, itv ilikuja baadae, na kupata itv ilibidi ufunge kitu kinaitwa crystal!Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Mimi hatupishani sana cha ajabu sikupenda vipindi vya watoto,nilikuwa napenda hiphop,kipindi cha Reggae ngoma za akina Justine kalikawe,Innocent Galinoma na kipindi fulani kilikuwa kinaitwa footballmundial mambo ya mpira.Tuliozaliwa 1984 huu uzi hautuhusu japo kipind cha watoto Show niliwahi kwenda
Everybody has got his (the)neighbor!Kibwagizo cha wimbo hicho enzi hizo.Neighbors