babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sijui km mnamkumbuka Albert Msemembo na Yvonne Sikilo.CTN ilikuwa ya kwanza 1993
Yale mauaji ya Rwanda walibroadcast cnn kupitia ctn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui km mnamkumbuka Albert Msemembo na Yvonne Sikilo.CTN ilikuwa ya kwanza 1993
Anafanya kazi benki nbcHivi yule Eddy wa kipindi cha watoto cha ITV aliishia wapi?
Basi ni vizuriAnafanya kazi benki nbc
Rahma aziziHapana sio huyo, alikuwa mwanzoni sana
Mzee wa pasha pasha pashaaaa moootooooo 😄 kipindi cha watoto wetu hichoBasi ni vizuri
Alizijua sana katuni yule mtu enzi zake
Bado upo nyuma sanaMpaka leo nikitaka kutupia jicho channel za ndan upande wa habari ni itv 😃
Wakaja na itv 2 channel 5 badae ikawa eatv
Ndiooo 🤣🤣🤣Mzee wa pasha pasha pashaaaa moootooooo 😄 kipindi cha watoto wetu hicho
Mbona wengi wazuri wamepita paleITV wamepita watangazaji wengi wa habari ila hawatakuja kupata mtangazaji mzuri wa habari kama Godwin Gondwe
Katuni moja ivi wanagusanisha mapanga juu wanakula dragonSawa vizuri alizijua sana katuni yule jamaa
Hawa wapo vizuri sana kwenye habari, naipenda taarifa habari yao na ile sijui inaitwa sound trackItv wanastahili kupewa super brand, maana ilifika wakati ikawa kama tv ya taifa kwa ubora wa muonekano na vipindi japo baadaye ikaja star tv na tvt. Kwa sasa itv bado iko vizuri ila hakuna mabadiliko makubwa kidigitali kama azam tv waliokuja kwa kasi ya ajabu kwenye soko la media. Azam kaongeza chaneli nyingi kuliko itv. Hata hivyo itv bado inatazamwa na watazamaji wengi wa taarifa ya habari
We bado wa juzi enzi hizo kuna kina Eddie ndio presenter.Mzee wa pasha pasha pashaaaa moootooooo 😄 kipindi cha watoto wetu hicho
Nyuma kivp kiongoziBado upo nyuma sana
Nimewakumbuka maana wao walikua wakali kwenye kutema yai balaa.Hii umenikumbusha
Ni kweli ila kuna ile kitu tunaita voice quality Gondwe kawazidi wengi hasa akiwa anatangazaMbona wengi wazuri wamepita pale
Mtu kama millard ayo
Sauda simba kilumanga
Betty mkwasa nk..
Sasa si namzungumzia huyo huyo au kulikuwa na eddie mwingineWe bado wa juzi enzi hizo kuna kina Eddie ndio presenter.
Kipindi cha watoto tu mnajaa nyomi kwenye mavaranda ya watu kuangalia ila kilikuwa hakiboi maana kuna kipindi kimoja hicho Eddie alifanyia airport kwa kusafiri hadi south Africa huku akiwaoji marubani sijasahau kile kipind hadi leo na ukubwa wangu huu..
Mkaka wa watu alikuwa na Mvuto haswa na nywele zake ndefu na huo urefu ni balaa