Uchaguzi 2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

Habari zinatayarishwa kwa gharama kubwa. Tatizo lenu CDM ni kutaka mbebwe bure. Pay for the news and ITV will run them. Mnafikiri kukusanya habari hakuna gharama! Lipieni muone kama hazitoki. Mmmzoea vya bure.
 
Habari zinatayarishwa kwa gharama kubwa. Tatizo lenu CDM ni kutaka mbebwe bure. Pay for the news and ITV will run them. Mnafikiri kukusanya habari hakuna gharama! Lipieni muone kama hazitoki. Mmmzoea vya bure.
Habari inalipiwa!!??
 
Nadhani tungoje tarehe 7/11 baada ya Tundu Lissu kuwa ameshaapishwa kuwa Rais wa JMT ndio tutasikia mengi na ya kutisha sana katika historia ya nchi hii.
Nategemea kusikua Truth confession statements kutoka vyombo vya habari mbalimbali na hata taasisi na idara tofauti wakieleza kwa undani maagizo ya mengi waliyokuwa wanafanya amri zilitoka kwa nani (kwa majina) na vitisho gani walikuwa wanapewa.
Hapo itakuwa ni wajibu wetu kuona, jee watoa amri hao walikuwa wanatumia vibaya ofisi za umma na kutishia watu na taasisi?
Kama ndio hawawezi kukwepa mkono wa sheria kwa MATUMIZI MABAYA YA OFISI.
 
Leo itakua katukana sana,

Hata hivyo tayari unafahamu kuwa kafanya mikutano na bado unataka kuona kwenye TV unachokifahamu, aisee.
 
Ya nini tumeshajua tunampigia kura Lisu na CHADEMA.
 
Wanatekeleza maelekezo, taarifa kubwa zilikuwa zinahusu CCM na walizigawa vipsndevipande kwa mtindo wa simulizi ndani ya taarifa ya habari! Habari simulizi zilihusu wagombea wa CCM bara na visiwani.
 
Yuko mkoa wa Ruvuma, na helkopta yake, mtu kibao! Ila mwaka huu kazi ipo!
 
Kungekuwa na Uhuru Kama ule wa 2015 jiwe angekubali kushindwa kabla ya uchaguzi. Na kubana KOTEE HUKO lakini bado Tundu Lisu kawa mwiba Ni Jambo la kushangaza.
 
Lissu muda mwingi anautumia kumtukana Rais.

Ndio maana vyombo vya habari vinashindwa kutangaza matusi.
Sizani kama lissu kamfikia mrema kuiponda serikali kama alivyofanya kipindi anagombea uraisi
 
Achana nao. Wanaunga juhudi hao kwa kutishwa. Sisi tunaendelea kupata taarifa za Lissu kupitia njia mbadala. Leo alikuwa Songea na amepokelewa kishujaa.
 
Malalamiko FC
 
Umelipia airtime?
 
Lisu anajua amesha shindwa uchaguzi,hasirayake ameamua atukane hovyo nami naomba kwasasa aachwe abwabwaje baada ya uchaguzi apelekwe mahakamani
 
Hivi clouds walishaachaga au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…