Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Jamani naombeni msaada kuna rafiki yangu sasa unakwenda mwezi wa saba amenyimwa unyumba na hajawahi kupewa papuchi hata angalau ya kuonja kama kuomba ameomba sana mpka amechoka mwanamke anamwambia asubili mpka atakapokuwa tayali jambo linalomfanya aumie roho ajione kama labda ana kasoro.
Lakini hebu tujiulezeni vizuli ivi mwanamke anayekupenda kwa dhati na moyo wote ni kweli anaweza kukunyima papuchi hata ile ya kuonja nusu nusu anakubania sana
Lakini hebu tujiulezeni vizuli ivi mwanamke anayekupenda kwa dhati na moyo wote ni kweli anaweza kukunyima papuchi hata ile ya kuonja nusu nusu anakubania sana