Mwanamke anayekupenda hawezi fanya kitu kama hiko
Labda awe na matatizo binafsi so anahofia ukiyaona mapenzi yanaweza kupungua au hata kufa kabisa
Mimi tangu mwaka jana mwezi wa 7 hadi leo nimenyimwa papuchi kisa mpaka ndoa.. Basi anaona kanikomoa hajui kwake nafuata utelezi, utamu ninao mwenyewe..
Ivi unajua Mapenzi ni zaidi ya ngono??
Sema shida inakuja unapoamua kuvumilia lkn nyuma.yapazia kuna muhun anakamua mpaka maziwa ya mwisho.
Sasa dawa ya hii kitu ni ndogo mno , Unatafuta mwanamke mwingine, unaendelea kula mzigo , siku atakapoona vema kukupazigo atakupa, na ukikuta yaliyomo sio yale alokua anakuzungushaaaaaa basi naww unamuacha ,unabaki na kabinti kako kalokua kanakujali .
Ikifikia mahali mke au gf anakupangia matumizi ya utam ujue kuna walakini.Jamani naombeni msaada kuna rafiki yangu sasa unakwenda mwezi wa saba amenyimwa unyumba na hajawahi kupewa papuchi hata angalau ya kuonja kama kuomba ameomba sana mpka amechoka mwanamke anamwambia asubili mpka atakapokuwa tayali jambo linalomfanya aumie roho ajione kama labda ana kasoro.
Lakini hebu tujiulezeni vizuli ivi mwanamke anayekupenda kwa dhati na moyo wote ni kweli anaweza kukunyima papuchi hata ile ya kuonja nusu nusu anakubania sana
Ahahahaa nouma snAcha asipewe tu kama kanyimwa miez 7 kaja kukuambia nawe unakuja huku tueleza sasa akija pewa hyo siku moja si ndo atatumia maiki za msikiti kutangaza
Daa kwaiyo ndugu yangu hadi sasa umeamuaje na vipi unavuliamiaje hali kama hiii
Kwani ni jamaa yake au yeye?Mwanamke anayekupenda hawezi kukunyima papuchi kabisa anajua akikunyima utaenda tu kwa wengine ukapewe mwambie jamaa yako hapendwi