Ivi najaribiwa na muovu au nini?

mwallu asante kwa kunipa jukumu
hata hivyo ni kama ninaoteshwa neno fulani
hapa naona kama picha ya KakaKiiza ikiwa
mbele yako;

Ngoja niite kamati ya maombi kwanza
ili waweze kuifafanua ndoto Bujibuji japo ulikuwa
nyuma ya nondo sijui utakuwa huru lini; Paloma muke ya mutu sijui kama bado unao wito wa maombi; lady furahia japo umejichanganya sana lakini ukitubu utarudia wito wako;
Nasikia na Bishanga eti kaokoka; karibu tuombe ili mwallu awekwe huru;
 
Last edited by a moderator:
mbona hamasa yako naitilia mashaka?
Ukiwa na imani ndogo kama chembe ya haradali waeza hamisha mlima ukaote baharini.

Haya fanya fasta njoo kabla nguvu hazijaniishia.
 
asante Mamndenyi..hilo jukumu linakufaa sana wewe pamoja na watu8 pia sosoliso mruhusu mkeo aje
 
Last edited by a moderator:
Sijui nianzie wapi kukushauri mamito mwallu
kwani hata mm nilikuwa mtawa mambo yakanishinda
Dayosisi ya nyanda za kati na kusini, si nikamezwa na
:smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow:
nikaingia quality game na hivi sasa niko 2 in 1

Ila cha kukushauri bestito kuwa mtu wa maombi
na mtu mwenye kuipenda huduma yako ya utawa
huku ukichochea kwa sala na dua nadhani hapo
utasaidika bestito
 
Last edited by a moderator:

Njoo ulale kwangu mwenyekiti siku mbili tu hiyo hali itakwisha kabisa kwa jina la chit chat..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…