Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Wengine hatutaki kuuziwa mbuzi kwa gunia...Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum
kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe?
kwanini nisimuoe tu fasta, yaani
nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo
hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi sana
kama kujuana tutajuana huko huko ndani ilimradi tunapima kinga wote tukawa sawa, basi we move
mbona wazazi wetu zamani hawakuchunguzana kwa miaka na miezi mingi kama watu wa sasa na walikuwa na ndoa tamu zilizokaa za miaka 40 -60?
Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date kwa miezi 6 - miaka 3?
Hiyo usijaribu moto wake unaochochea ni zaidi ya nyuklia..Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum
kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe?
kwanini nisimuoe tu fasta, yaani
nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo
hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi sana
kama kujuana tutajuana huko huko ndani ilimradi tunapima kinga wote tukawa sawa, basi we move
mbona wazazi wetu zamani hawakuchunguzana kwa miaka na miezi mingi kama watu wa sasa na walikuwa na ndoa tamu zilizokaa za miaka 40 -60?
Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date kwa miezi 6 - miaka 3?
We don't call it date...Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum
kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe?
kwanini nisimuoe tu fasta, yaani
nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo
hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi sana
kama kujuana tutajuana huko huko ndani ilimradi tunapima kinga wote tukawa sawa, basi we move
mbona wazazi wetu zamani hawakuchunguzana kwa miaka na miezi mingi kama watu wa sasa na walikuwa na ndoa tamu zilizokaa za miaka 40 -60?
Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date kwa miezi 6 - miaka 3?
Kweli eesawa mkuu umesikika
we vuta kwanza chap weka ndani
Utatupa uzoefu wako
Na bado hujasemaWengine hatutaki kuuziwa mbuzi kwa gunia...
Kipindi cha uchumba ni kipindi cha kuchunguzana, na wengine huwa wanafiki wanapretend.. mkiingia kwenye mahusiano rasmi ya ndoa ndio watu wanafungua makucha yao waliyoyaficha
Kwa hiyo kuchunguzana kwa upande wangu ni muhimu sana, nisije nikapigwa tukio nibaki nashangaa
Meona eeOgopa matapeli ukimchunguza sana bata kumla utashindwa.Kama nikuoa basi oa tu aliyetayari hakuna time frame
Kwahiyo ufanyaje?Hiyo usijaribu moto wake unaochochea ni zaidi ya nyuklia..
Ndoa sio uchumba wala ndoa sio shule kusema ntaacha unaweza ukaishi maisha yako yote kwa machozi na ukafa mapema
UweeeWe don't call it date...
We call it..
"Sogea tuishi".
Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum
kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe?
kwanini nisimuoe tu fasta, yaani
nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo
hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi sana
kama kujuana tutajuana huko huko ndani ilimradi tunapima kinga wote tukawa sawa, basi we move
mbona wazazi wetu zamani hawakuchunguzana kwa miaka na miezi mingi kama watu wa sasa na walikuwa na ndoa tamu zilizokaa za miaka 40 -60?
Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date kwa miezi 6 - miaka 3?
Mnashake mnatoka na mende🚶🚶🚶Shake well before use.
Picha yangu inaongeaKwani wewe ni KE au Me
Mungu anakuoooonaBora ukosee kuoa maana utaacha ila ukikosea kuchagua kiongozi ni mpaka tena miaka 10 - Jp Magufuli RIP
Yani sikuhizi kumjua mwanaume mpaka mkae mwaka au Miaka 2?Usimuoe mtu just because umejua miezi sita sijui mwaka. Maan kurupuka kwenye ndo yakukute
Tulia nae even for year and half au hata mwaka utajua mazuri na madhaifu yake then it will up to you kuchagua
Mungu ana tuona woteMungu anakuoooona