Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum

kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe?

kwanini nisimuoe tu fasta, yaani

nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo

hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi sana

kama kujuana tutajuana huko huko ndani ilimradi tunapima kinga wote tukawa sawa, basi we move

mbona wazazi wetu zamani hawakuchunguzana kwa miaka na miezi mingi kama watu wa sasa na walikuwa na ndoa tamu zilizokaa za miaka 40 -60?

Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date kwa miezi 6 - miaka 3?
Maisha ni wewe sio mtu utakavyo fanya ushauri wa nini??
 
Back
Top Bottom