Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

Wengine hatutaki kuuziwa mbuzi kwa gunia...

Kipindi cha uchumba ni kipindi cha kuchunguzana, na wengine huwa wanafiki wanapretend.. mkiingia kwenye mahusiano rasmi ya ndoa ndio watu wanafungua makucha yao waliyoyaficha

Kwa hiyo kuchunguzana kwa upande wangu ni muhimu sana, nisije nikapigwa tukio nibaki nashangaa
Kheri kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia kuliko kuuziwa Gunia Tupu.

NDOA NI UHAINI
 
Ogopa matapeli ukimchunguza sana bata kumla utashindwa.Kama nikuoa basi oa tu aliyetayari hakuna time frame
Mwanamke ndio anayeolewa kwa mwanaume yeyote aliyetayari kwasababu muda ni adui wake ila kwa mwanaume, nitakuchunguza mpaka nijiridhishe, sinalimitations za muda unless biological complications occur.
 
Kama unataka kuchunguza kujua tabia ya mke niseme hawa viumbe sio waigizaji kinoma itakuchukua mda kuwaelewa
 
Time heals......hii ni falsafa ambayo imewasaidia Wengi katika mambo mengi....

Ukija kwenye suala la mahusiano Wengi japo sio wote huamini akikaa na mtu mda mrefu atamsoma vema ndio maanA dating inakuwepo for sometime...
Ila yote tisa la muhimu ni kumwomba Mungu tu akujaalie mke mwema unaweza Fanya yote na ukafeli tu
 
Kukaa na mwanamke muda mrefu sio kigezo cha kuwa mstaarabu au mwema changamoto zipo Ila kuna zinazo vumilika Na nyingne hazivumiliki.Ila ukishatambua hakuna mkamilifu maisha yanaenda.Nilikutana Na mwanamke kwa muda miez miwili nikajua vichache kuhusu yeye Na familia yake Nikamshukuru Mungu nikapeleka barua sasa namalizia posa awe mke halali kabisa.kaz ya mwanaume ni kumfanya mwanamke afuate kile unachotaka ukimruhusu akutawale hakuna Rangi utakayo acha kuona
 
Nisiporidhika katika uchunguzi wangu hata by 0.005% sioi maana sio lazima. Hujawajua overthinker ndugu[emoji23][emoji23][emoji23], every thing is an anomaly to me.
uwe padri usitusumbue
 
Time heals......hii ni falsafa ambayo imewasaidia Wengi katika mambo mengi....

Ukija kwenye suala la mahusiano Wengi japo sio wote huamini akikaa na mtu mda mrefu atamsoma vema ndio maanA dating inakuwepo for sometime...
Ila yote tisa la muhimu ni kumwomba Mungu tu akujaalie mke mwema unaweza Fanya yote na ukafeli tu
Amen bro
 
Kukaa na mwanamke muda mrefu sio kigezo cha kuwa mstaarabu au mwema changamoto zipo Ila kuna zinazo vumilika Na nyingne hazivumiliki.Ila ukishatambua hakuna mkamilifu maisha yanaenda.Nilikutana Na mwanamke kwa muda miez miwili nikajua vichache kuhusu yeye Na familia yake Nikamshukuru Mungu nikapeleka barua sasa namalizia posa awe mke halali kabisa.kaz ya mwanaume ni kumfanya mwanamke afuate kile unachotaka ukimruhusu akutawale hakuna Rangi utakayo acha kuona
sauwa
 
Back
Top Bottom