Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

Shughuli ukinywea kitaa unakuta umezungukwa na masela nondo asee.... Wanagonga smart gin, lozera na double kick hatari.....

Ila siku moja moja huwa napenda kukaa nao wakishalewa kuna info unapata hata wezi hawagusi kwako.... Tokea nmeanza hii mbinu huwa sina wasiwasi na kuvamiwa kitaa....

Ulevi oyeeee......
 
Kuepuka hizo kero agiza mbili mbili tu. Mara nyingi wanajipendekeza kwenye meza iliyopendeza.
 
Back
Top Bottom