Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

We unajifunza kusosholize... Ukikuwa utagundua kuna siku ulileta uzi wa kijinga JF...
 
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR

Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja

Umenunua zako K Vant unapiga ado ado huyo na glass utasikia kidogo nataka kucheuwa mara k vant yako kubwa unakata

Halafu wanavitambi kweli kweli na vikaptula alafu ukimpa bia moja izzo sifaa sasa utasikia huyu jamaaa yangu kumbe hakujui hata akipigiwa au kupigia wenzake utasikia nipo sehemu flani na kiongozi, papa, au tajiri flani utaskia mh kuna gari ya milioni saba inakufa sasa

Huwa mi nawazimishaga sana.

KAMA HUNA PESA, KALALE
Akikukaribia mwambie avae brakoa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR

Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja

Umenunua zako K Vant unapiga ado ado huyo na glass utasikia kidogo nataka kucheuwa mara k vant yako kubwa unakata

Halafu wanavitambi kweli kweli na vikaptula alafu ukimpa bia moja izzo sifaa sasa utasikia huyu jamaaa yangu kumbe hakujui hata akipigiwa au kupigia wenzake utasikia nipo sehemu flani na kiongozi, papa, au tajiri flani utaskia mh kuna gari ya milioni saba inakufa sasa

Huwa mi nawazimishaga sana.

KAMA HUNA PESA, KALALE
Hawa kupe/parasite siwapendi kabisa.

Nakumbuka tulishazimisha kupe kibao.

Kuna boya mmoja tulifanyia mbaya Kahama stendi mpaka kazima.
 
Back
Top Bottom