Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.

Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Iwambi viwanja tu chini ya m10 hupati wewe unazungumzia iwambi ya wapi😂😂 isijekuwa unatupanga tu tujue na wewe umejenga.🏃🏾‍♂️
 
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.

Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Juzi nilikuwa napiga misele Iwambi aise kumejengeka sana sio poa 🙌 ingawa location naona sio nzuri kama unapenda privacy.
 
Pole mkuu,hata Mbeya.Dodoma hiyo ungekuwa tajiri sana,Mimi nimejenga nyumba hapa Dodoma Kuna mtu anataka kunipa m150!Wife anakataa wakati najenga hata m10 haifiki pamoja na kiwanja,umeme,maji,mafundi,mwaka 2003.
Huyo mkeo achana nae njo umuoe dada yangu kuhusu kuuza nyumba mil 150 angekubari🤑🤑
 
Back
Top Bottom