Hiyo nyumba ni ya tofari Mbichi, kuchoma au za Saruji na Mchanga? Pia kiwanja chako kina ukubwa gani wa Mita za Mraba? Vile vile hiyo Iwambi unayoisemea weye ni Block, E, F, G au Miyomboni?
Kama hiyo nyumba ipo vizuri na ipo Block E,F na G na hainunuliki basi itakuwa na shida nyingine. Kwa maeneo Yale kwa Mbeya ni Prime na wengi hupenda kujenga huko.
Ila Kama ni Iwambi ile ambayo haijapimwa na maeneo ya uswazi kwenye ujenzi wa tofari mbichi kwakweli utasota kwani wengi wa wanunuzi wanapendelea Block E,F,G na SISITILA