Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
POLE KWA KUZIKA HELA UKAVUNA UBUYU! 😅Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Rudi kwenu Makorongoni Iringa utambe na hiyo milioni kumi mkuu.Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Hiyo nyumba ni ya tofari Mbichi, kuchoma au za Saruji na Mchanga? Pia kiwanja chako kina ukubwa gani wa Mita za Mraba? Vile vile hiyo Iwambi unayoisemea weye ni Block, E, F, G au Miyomboni?Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Hiyo nyumba ni ya tofari Mbichi, kuchoma au za Saruji na Mchanga? Pia kiwanja chako kina ukubwa gani wa Mita za Mraba? Vile vile hiyo Iwambi unayoisemea weye ni Block, E, F, G au Miyomboni?
Kama hiyo nyumba ipo vizuri na ipo Block E,F na G na hainunuliki basi itakuwa na shida nyingine. Kwa maeneo Yale kwa Mbeya ni Prime na wengi hupenda kujenga huko.
Ila Kama ni Iwambi ile ambayo haijapimwa na maeneo ya uswazi kwenye ujenzi wa tofari mbichi kwakweli utasota kwani wengi wa wanunuzi wanapendelea Block E,F,G na SISITILA
Ni kweli, watu tujifunze kujenga nyumba kukingana na thamani ya kiwanja.
Ni sawa na kujenga nyumba ya miliin 80 ilolo kule, siku ukitaka kupush lazima ushangae
🤣🤣🤣 kujenga nyumba ya mil 80 ilolo!!haya ni matumizi mabovu ya fedha na akili!Ni kweli, watu tujifunze kujenga nyumba kukingana na thamani ya kiwanja.
Ni sawa na kujenga nyumba ya miliin 80 ilolo kule, siku ukitaka kupush lazima ushangae
Mkuu nasikia mkwajuni kumechangamka sana kibiashara.View attachment 3602035Mbalizi hio, Wacha nishuke zangu Mkwajuni nikatafte.
Tunaomba picha ya nyumba Madame B aliiuza ile ya kwake kule Dom kwa M20 tu humu humu ikanunuliwaNikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Kiasi chake, wazee wa chaka2chaka huko kumenoga sana.Mkuu nasikia mkwajuni kumechangamka sana kibiashara.