Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Uliisahau wakristo wako busy na kufoji vyeti😜😜😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Kanisa la madhehebu ipi,? Gay church, Satanic Church nkNa nyie mjenge kanisa hapohapo.
Kanisa la madhehebu ipi,? Gay church, Satanic Church nk
Huelewi hii Dunia inavyondeshwa wewe tulia tu. Hiv unajua kuna masheikh wengi tu wakristo. Achana na kitu inaitwa Jesuit utapewa kila kitu kukuonyesha una win ila deep down watoto wa mjin wanawapunguza tu mdogo mdogo. Ndicho walichomfanyia Ghadafi wazee wanaanzisha vita watu wako wanakimbilia kwao wanawapokea kama wakimbizi. baadae wanwezeshwa mnakuja kurud na akili nyingine mnapindua serikali mambo yote vululuvululu. Bro mzungu muda wote anaishi mfumo wa survive of the fittest. Akikubali tu yeye kwishniye. Kwanza kwa kukusaidia wazungu wengi kwa leo hawaamin chochote. Ila hawaikubali tamaduni ya kiislam.Masikini ya Mungu nwkuhurumia sana kwa kujazwa ujings ukskujss, jionee Mzungu anafanya nini sasa hivi 👇🏾
Marekani: Jinsi kanisa lililotelekezwa la New York liligeuka kuwa kituo cha jumuiya ya Waislamu
Bibi Esahack anatekeleza maono yake kwa ajili ya kituo cha jumuiya huko Brooklyn, New York, ambacho kinalenga kusaidia vizazi vijavyo vya jumuiya ya Kiislamu.
![]()
Kanisa lililotelekezwa huko Brooklynn huko New York liligeuzwa kuwa kituo cha jamii ya Waislamu (Zainab Iqbal/MEE)
Sina chuki na ndugu zangu wa upande wa pili,maana tumeoleana sana,tatizo Huwa nashindwa kuelewa kwanini Huwa wanaona wapo entitled kuwa na misikiti popote pale kwenye taasisi ya umma,kwamba ni haki Yao,na wengine inabidi wakubali TU!Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Yote yalianzishwa na Pedophile MuhammadTunajionea, wizi, utapeli, ushirikina, ushoga, kuharibu watoto kulikoenea
Wakati mnakuja kujenga soko karibu, tayari msikiti ushajengwa miaka mingi.Hajaongelea misikiti mingi kasema maeneo ya seriklo kama vile masokoni na kwenye vituo vya mabasi
Punguza unafikiSerikali ikiongozwa na muislamu nchi huwa ya kiislamu tangu enzi za mzee ruksa
Hee! Waraabu tumeingiaje humu tena. Kesi imehamia kwa waraabu tena. Nchi ngumu sana hii[emoji42]Waarabu ni watu washenzi sana katika dunia hii
Dunia nzima ipi? Dunia ya Hapo Ikwiriri unapoishi au?Dunia nzima wameelewa kuwa dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam pekee.
Nakushangaa wewe ambae hujastuka mpaka leo.
Pitia uzi vizuri utaiona ni ipi, pata hii sasa hivi:Dunia nzima ipi? Dunia ya Hapo Ikwiriri unapoishi au?
Pitia uzi vizuri utaiona ni ipi, pata hii sasa hivi:
Kwa Mwamposa Kunatosha Kaka,Pia Makanisa Wakiwa Mengi Tanzania NEMC itayafunga Kwa sababu Ya Kelele.Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Nenda Mashuleni Utaona Hijabu Ni Nyingi Wazazi wa Hao watoto Pia Ni waislamu ndo Utajua Kuwa Dar es salaam Ina waislamu wengi.Lini ulifanya sensa ya kujua Dar inawaislamu kuliko wakristu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Dar ulisome wewe pekee yakoNenda Mashuleni Utaona Hijabu Ni Nyingi Wazazi wa Hao watoto Pia Ni waislamu ndo Utajua Kuwa Dar es salaam Ina waislamu wengi.
Pia Waliobaki Haimaanishi Kuwa Ni Wakristo Kuna Wahindu na Wengine Ni agnostics Nad atheists Huwa mnadhani pia Ni wakristo wenzenu kwa kuwa hawaeleweki
viongozi wa juu wote ni wavaa makobasi,bandari wanapewa wavaa makobasi,loliondo wamepewa wavaa makobasi,na railway watapewa wavaa makobasi!!!Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini