Kijana acha kuzunguka mbuyu naona nimekupa za uso kule umekimbia na iyo njia uloishika ww ni ya kwenda kupigwa moto usijitetee ata kidogo
Hivi ukiwa na akili timamu una abuduje Dini moja na Majini.
Yaani unaenda kuswali na Jini Popobawa au Jini Mahaba Msikiti mmoja wote mnatubu dhambi zenu pamoja kwa Allah.
Msikitini kumefurika majini yakitubu dhambi zao na wewe upo humo humo
Unalionaje hili?
Muhammadi alitumwa na Majini kuueneza Uislamu.
Alivyotoka kule pangoni alieleza kiwazi kabisa kwamba.
"Nahisi kuzugwa na Mashetani" Walaga Bin Naufal hakuwepo kule pangoni ndio akamwambia yule alikuwa Malaika Gibrili. Hivi wewe ungemwamini nani ?
Surah An-Nisaa-u Ayah 79
مَّآ أَصَابَكَ مِنۡ حَسَنَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ وَمَآ أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٖ فَمِن نَّفۡسِكَۚ وَأَرۡسَلۡنَٰكَ لِلنَّاسِ رَسُولٗاۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ شَهِيدٗا
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. [emoji117]Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Surah Al-Baqarat Ayah 97
قُلۡ مَن كَانَ عَدُوّٗا لِّـجِبۡرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلۡبِكَ بِإِذۡنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ وَهُدٗى وَبُشۡرَىٰ لِلۡمُؤۡمِنِينَ
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Surah
Al-Djini: Ayah
12
وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن نُّعۡجِزَ ٱللَّهَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَن نُّعۡجِزَهُۥ هَرَبٗا
[emoji117]Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.*
Nasi ni Majini