ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Hoja yako imebakwa na wabakaji wa kiislamu kwenye mfungo wao ila wangejipa muda kidogo kujua ulicholenga ni zaidi ya waislamu wewe umejielekeza ujenzi wa misikiti kwenye maeneo ya serikali wakati serikali haina dini. Mimi nikujibu kwamba aya ni makosa makubwa ambayo yanaweza kutuingiza kwenye vita ya kidini na moja ya vita mbaya duniani ni viya ya kidini(kiimani) Kama serikali inataka kujenga misikiti ijenge kwenye maeneo yaziyo ya serikali nasikia Ikulu walijenga msikiti pale narudia tena ni hatari sana.
Mkapa aligawa viwanja vya wazi kwa Waislamu (Bakwata) leo wanavigombea na Shia wote waislamu. Hizi mambo sio za kuacha tuzikemee popote ili kulinda Amani ya Nchi yetu.
Mkapa aligawa viwanja vya wazi kwa Waislamu (Bakwata) leo wanavigombea na Shia wote waislamu. Hizi mambo sio za kuacha tuzikemee popote ili kulinda Amani ya Nchi yetu.