Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Hoja yako imebakwa na wabakaji wa kiislamu kwenye mfungo wao ila wangejipa muda kidogo kujua ulicholenga ni zaidi ya waislamu wewe umejielekeza ujenzi wa misikiti kwenye maeneo ya serikali wakati serikali haina dini. Mimi nikujibu kwamba aya ni makosa makubwa ambayo yanaweza kutuingiza kwenye vita ya kidini na moja ya vita mbaya duniani ni viya ya kidini(kiimani) Kama serikali inataka kujenga misikiti ijenge kwenye maeneo yaziyo ya serikali nasikia Ikulu walijenga msikiti pale narudia tena ni hatari sana.
Mkapa aligawa viwanja vya wazi kwa Waislamu (Bakwata) leo wanavigombea na Shia wote waislamu. Hizi mambo sio za kuacha tuzikemee popote ili kulinda Amani ya Nchi yetu.
 
Lini ulifanya sensa ya kujua Dar inawaislamu kuliko wakristu.
Mkuu uko msiende awa jamaa uwa wanadanganyana uko kwenye nyumba zao ndio maana wanaishia kuzaa watoto wengi lakiji hawawapeleki shule umewahijiuliza kwanini bodaboda wengi ni waislamu?
 
Ferry msikiti hakuna hadi kariakoo, Posta Hakuna msikiti pana makanisa tu SAsa ulitaka wakaswali kariakoo, watauza samaki Saa ngapi.
 
Pana mmoja alidai airport ndani pawekwe kanisa, Muislamu mda wote ni wa sala.
 
Makanisa yangejengwa kwenye maeneo ya serikali mngekaa kimya kweli?
Umesha ambiwa hakuna eneo ambalo sio la serikali ndani ya nchi hii.
Ardhi yote ni ya serikali hakuna mtu au taasisi yeyote inayo miliki ardhi ndani ya nchi hii.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini

Ni wakati gn kwa mara ya kwanza umewaona waislam.

Ukiwa mkoa gn
Ulikwenda kufanya nini mkoa huo.

Kipi bora kati ya kujenga misikiti dar au kujenga bar.

Wewe ni mfuasi wa chama gn
 
Kwani ukiwa hapo soko la samaki feri au stend na muda wa swala ukakukuta ukiwa hapo huoni itakuwa rahisi kwenda msikitini kufanya ibada mara moja halafu ukarudi kuendelea na mishe mishe? Mfano kwenye mfungo kama sasa ikifika muda wa magharibi mtu anaenda msikitini anafuturu (kuna misikiti wanaleta tende, juice, maandazi nk) ili kufuturisha watu. Sasa wewe hilo kwa nini linakukera??
 
Kwani ukiwa hapo soko la samaki feri au stend na muda wa swala ukakukuta ukiwa hapo huoni itakuwa rahisi kwenda msikitini kufanya ibada mara moja halafu ukarudi kuendelea na mishe mishe? Mfano kwenye mfungo kama sasa ikifika muda wa magharibi mtu anaenda msikitini anafuturu (kuna misikiti wanaleta tende, juice, maandazi nk) ili kufuturisha watu. Sasa wewe hilo kwa

Lakini maeneo ninayoyaongelea hati zake na milki yake sio waislamu wala bakwata
Tuletee hizo hati na milki zake kama unavyodai.Inaelekea unayajua hayo maeneo. Huna ushahidi huo just shut up and stop the nonsense.
 
Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Leo ukijenga msikiti mtaa fulani almost 90% ya waislam wa lile eneo watasali hapo ila ukijenga kanisa sidhani kama itawezekana maana hawa watakwambia sisi ni waroma, kkkt, aic, pefa, fpct, ufufuo na uzima, mashahidi wa yehova, mlima wa moto, sda, nk. So serikali itaomba msaada wa makanisa mangapi kwa eneo moja?
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Nadhani ni kwa sababu sala za waislam zipo kila siku na kila baada ya masaa machache tu, na hivyo ni muhimu kwa wao kuwa karibu na nyumba za Ibada hata wanapokuwa wapo kwenye maeneno yao ya kazi. Sisi wakristo tunaweza kusali hata mara moja kwa wiki na bado tukajisikia tuko sawa tu, tofauti na waislamu ambao wao ni kila baada ya masaa.

Sasa unataka mtu anayefanya kazi Ferry awe anaacha kazi zake, anatoka hapo kila baada ya masaa, anaenda kuswali kwenye msikiti uliopo Kariakoo?
 
Lakini maeneo ninayoyaongelea hati zake na milki yake sio waislamu wala bakwata
Visome vipengele vyote kwenye hiyo hati ujionee ni mali ya nani, jina la mwenye hati utakuta kuwa ni mpangaji tu kwenye hilo eneo.
 
Miaka 30 lakini bado mshamba tu nyumba za tabata robo 3 zimejengwa holela hata hapo unapo ishi hata makanisa ya yamejengwa holela tu kwa chuki yako umeona hiyo misikiti 2 tu makanisa ukuyaona hovio
Kanisa la Kristu mfalme pale Tabata wana ekari karibia 50 ambazo walizipata kipindi Tabata ni pori wanaishi ngedere tu, wakazi wote wa Tabata lile kanisa wamelikuta, 99% ya Tabata imepimwa, achana na hiyo Tabata Dampo, na open space zilitengwa za kutosha, alivyoingia Mwinyi tu, open space zote zina misikiti, watoto wanacheza mabarabarani wanapishana na magari tu.

Makanisa huenda maporini kabisa na kuchukua maeneo makubwa ya mapori, wanajenga mashule na mahispitali, halafu wananchi ndio hufuata hizo huduma na makazi yao hufuata, ila misikiti inatafuta sehemu yenye watu tayari, halafu zile open space za michezo ndio wanaziomba wajenge misikiti.., ujinga mwingi sana
 
Nadhani ni kwa sababu sala za waislam zipo kila siku na kila baada ya masaa machache tu, na hivyo ni muhimu kwa wao kuwa karibu na nyumba za Ibada hata wanapokuwa wapo kwenye maeneno yao ya kazi. Sisi wakristo tunaweza kusali hata mara moja kwa wiki na bado tukajisikia tuko sawa tu, tofauti na waislamu ambao wao ni kila baada ya masaa.

Sasa unataka mtu anayefanya kazi Ferry awe anaacha kazi zake, anatoka hapo kila baada ya masaa, anaenda kuswali kwenye msikiti uliopo Kariakoo?

Una akili sana. Ukiamua kufikirisha akili majibu ya jambo hili ni mepesi sana.
 
Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Jamaa analalamika kwamba Serikali inajenga misikiti. Hivi CAG huwa anakaguaga pia huko misikitini au Makanisani??
Nimenukuu hapo:"............lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala".
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Ungeuliza pia, wakazi wa asili wa hilo eneo ni kina nani?
Ujue watu wamehamia wakawakuta waislam wanaishi eneo lao; Sasa wakazi wenyeji wakitaka kujenga nyumba ya Ibada katika eneo lao la asili wazuiliwe?
Fuatilia kwa makini bila kukurupuka.....
 
Usipo yaelewa mambo kwa kina utapata shida sana kutafakari mambo hayo!!

Ukombozi wa nchi toka kwa wakoloni ulisimamiwa na dini zote mbili yaani waumini,wasomi,wnazuoni wa dini zote mbili walihusika na kuwa viongozi wa serikali na wanatambua bila dini huwezi ongoza taifa kama letu!

Walianza waswahili waislam kudai uhuru wakaja wakristo hasa mkristo akakaribishwa na kuwa kiongozi huyo huyo akaunda Bakwata kwa ushirikiano na serikali na Dini zote hadi leo Bakwata ipo na Bara la maaskofu lipo!!

Kwa hiyo swala la misikiti na makanisa ni sehemu ya serikali katika kutawala watu na ardhi yote ni mali ya serikali na Dini zote ni sehemu ya serikali japo inajinasibu haina Dini!!

Ukielewa hayo huwezi jiuliza hayo !!
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
kina
 
Back
Top Bottom