Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Hakuna msikiti unao jengwa na serikali labda hule wa kinondoni alio makonda baada ya kuhamisha mihela na kupeleka kanisani kidogo kawafuta macho bakwata
 
Sijui kwanini mnatuchukia waislamu na kila kinachohusiana na Uislamu, ipo mikoa ina makanisa mengi sana ila hakuna mwislamu anayelalamika. Yaani ikitokea kitu fulani kikawa kizuri upande wa waislamu lazima thread za lawama namna hii ziongozane.

Mwaka huu tu kusimama ligi Zanzibar kisa mfungo imekuja lawama kwanini isimame kipindi cha Kwaresma, kufungwa kwa biashara au kubadili ratiba ya migahawa nayo imekuja kulaumiwa uislamu, bado ikatolewa agizo vyakula bei idhibitiwe mwezi wa ramadhan lawama zimekuja kwanini isiwe kipindi fulani.

Haya yametokea mwaka huu tu fikiria miaka mingine yamekuwa ni hivyohivyo. Wazee mbona mnatuchukia namna hiyo?
 
Na hao wenye chuki sio Ahlu kitab bali ni wale wasiojua lolote kuhusu dini yao.Ukikuta mtu wa dini haswa hawezi kuhubiri chuki na utengano.Ndio maana mambo haya yameshamiri sana kwa sasa kwa sababu hawafuati mafundisho ya dini yao.
 
Kwa Wakristo utajenga makanisa mangapi?
 
Ardhi yote ya nchi hii ni ya serikali hata hiyo nyumba yako uliyo ijenga umeijenga kwenye ardhi ya serikali.
Hakuna mtu au taasisi yeyote inayo miliki ardhi ndani ya Tz zaidi ya serikali.
Sasa kama ni hivyo mbona zanzibar/pemba kupata ardhi ya kujenga kanisa mtihani mkubwa,kama kwa pemba ni almost haiwezekani?!!na yote ni ardhi ya serikali?
 
Kuna mwingine Kenya ksababisha wafuasi wake 4 kufa sababu ya kufunga bila kula chochote kwamba ni maelekezo yake
 
Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Chaa ajabu aliyeomba msaada ya kujengewa msikiti ni JPM mkatoriki
 
wewe fala sana wewe unajua serikali imehodhi viwanja vya waislamu vingi tu na nyingine wakishirikiana bakwata mpaka watu binafsi wamechukua viwanja vya msikiti, hiyo ikulu ni kiwanja cha mwarabu, kila kanisa ukubwa wake na msikiti ulipewa ardhi hivyohivyo sasa tathmini wewe makanisa ya ukubwa wa ardhi kiasi gani ukilinganisha na misikiti
 
kanisa zenu hamuabudu mungu kila jumapili nikwenda kucheza ndombolo kanisani

 
Tuongee tu Ukweli ndugu zetu Wakristo mnapenda kulalamika mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…