Iweje MOSAD, IDF, CIA, mwaka mzima wa 9kukalia Gaza wasijue mateka walipo ?

Iweje MOSAD, IDF, CIA, mwaka mzima wa 9kukalia Gaza wasijue mateka walipo ?

Verrazanno

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
454
Reaction score
1,011
MOSAD, CIA, IDF

Pamoja na drones na missiles za kupindua ma jengo, ardhi, mifereji, mashimo, juu chini chini juu...

Ikawaje washindwe kujua walipohifafhiwa wenzao mpaka wawe humuliated kwa kukubali waonyeshwe ?
 
Unaifahamu Gaza ilivyo?Gaza is most populated area .Sasa ukiingiza na zile tunnels/mahandaki ya hamas yaliyoko chini ya ardhi,sio rahisi kumpata mtu wako Gaza ambao hamas waliwatumia kama human shield, vinginevyo uamue kuwalipua hamas na kuua mateka!
 
MOSAD, CIA, IDF

Pamoja na drones na missiles za kupindua ma jengo, ardhi, mifereji, mashimo, juu chini chini juu...

Ikawaje washindwe kujua walipohifafhiwa wenzao mpaka wawe humuliated kwa kukubali waonyeshwe ?
Unadhani hata walikuwa wanawatafuta? Wale washenzi walikuwa wanataka sababu ya kuichakaza Gaza. So wakaona hicho ndo kiwe kisingizio. Watu walishaisoma mchezo wao. Sasa kaiangalie Gaza. Waangalie Hamas, waangalie Hizbullah. Pamoja na kusign mipango ya amani Mayahood yanaendelea kuipiga Gaza daily. Yaani mpaka nasema jamani inatosha. Tumeelewa.
 
MOSAD, CIA, IDF

Pamoja na drones na missiles za kupindua ma jengo, ardhi, mifereji, mashimo, juu chini chini juu...

Ikawaje washindwe kujua walipohifafhiwa wenzao mpaka wawe humuliated kwa kukubali waonyeshwe ?
Isreal na hapo amepigana kama mwenda wazimu .. kama angepigana kwa taratibu na kuheshim sheria za vita mambo yangelikuwa magumu sana
 
Kama niwao mbona sasa mateka wao huu mwaka na miez 5 kutoka masaa 72 adi wapangiwe na Hamas ndio nataka kujua ndio awa awa au story zile ni uwongo njoo utam Korea !!!!!
Swali ni je unabisha hiyo mission haikutokea?
 
Back
Top Bottom