We mbona hujui kuunganisha dots na bado unajiona mjuzi!?
Assad kung'olewa syria kunahusiana nini na hizbullah kushindwa(ikiwa kweli walishindwa)?.. assad nchi ilishamshinda,akiiendesha kwa kuuza dawa za kulevya alizotengeneza mwenyewe,wanajeshi wakilipwa dola 50 kwa mwezi,akaamua kubwaga manyanga, ndiyo maana wanajeshi wake hawakupigana bali ku-buy time
Chain of command ya hizbullah ipo intact,na inajulikana,isingekuwepo kumbe nani angefanya majadiliano ya cease fire?
Aloyeleta proposal ya kusitisha vita siyo hizbullah bali israel,na hizbullah walikua wakiendelea kushambulia israel kila siku hata kambi za jeshi kiasi raia hawakurudi kaskazini,kama silaha ziliisha,hizo walizotumia kushambulia walitoa wapi,na kwa nini israel hakuingia lebanon,maana hizbullah hawakua na silaha
Cease fire ya hizbullah na israel ilihusisha Gaza,ndiyo maana hizbullah walikubali,na mwezi mmoja baadae pakawa na cease fire Gaza
Hizbullah walimtoa mgombea uraia wao na kumuunga mkono aliyepitishwa,wangeamua kumkataa asingepita,jua vyeo vya urais,uwaziri mkuu na uspika wa bunge lebanon umegawanywa kidini