dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
ni mtazamo wako ila haikuwa hivyoUnadhani hata walikuwa wanawatafuta? Wale washenzi walikuwa wanataka sababu ya kuichakaza Gaza. So wakaona hicho ndo kiwe kisingizio. Watu walishaisoma mchezo wao. Sasa kaiangalie Gaza. Waangalie Hamas, waangalie Hizbullah. Pamoja na kusign mipango ya amani Mayahood yanaendelea kuipiga Gaza daily. Yaani mpaka nasema jamani inatosha. Tumeelewa.