Iweje MOSAD, IDF, CIA, mwaka mzima wa 9kukalia Gaza wasijue mateka walipo ?

Mbona tuliambiwa Entebe masaa 72 ilikuwa IDF hiiii makomandoo ndio awa wengine!!!!!
Entebe watu walifungiwa kwenye hall pamoja na hakukuwepo raia. We jiulize namna hezbollah ilivyobakwq people. Wakanyea asubuhi
 
70% ya waathirika ni mama na watoto hivyo Hamas kama Hamas still wanaexist ile haikuwa vita ila ni uhalibifu wa humanity na Mali we angalia wakati mateka wanaachiwa utaona Hamas Tena in full combat
Ndo chaajabu nilichokishangaa, Hamas inaonekana bado inaaskari wa kuitisha mpaka nkajiuliza kumbe Hawa Israel Gaza waliikaliaje
 
Hivi inakuwaje sasa hivi israel analipua west bank yaan amehama gaza wanako badilishana wafungwa kahamia west bank.. akitoka kule atatafuta sababu ya kuendelea kuilipua mabom gaza
 
Hivi inakuwaje sasa hivi israel analipua west bank yaan amehama gaza wanako badilishana wafungwa kahamia west bank.. akitoka kule atatafuta sababu ya kuendelea kuilipua mabom gaza
Anapiga kwa malengo ili kuua miundombinu yote ya kigaidi.
 
Muisrael wa Kwamparange
 
MOSAD, CIA, IDF

Pamoja na drones na missiles za kupindua ma jengo, ardhi, mifereji, mashimo, juu chini chini juu...

Ikawaje washindwe kujua walipohifafhiwa wenzao mpaka wawe humuliated kwa kukubali waonyeshwe ?
Na wewe unaamini walikuwa hawajui? Itachukuwa muda kuelewa
 
MOSAD, CIA, IDF

Pamoja na drones na missiles za kupindua ma jengo, ardhi, mifereji, mashimo, juu chini chini juu...

Ikawaje washindwe kujua walipohifafhiwa wenzao mpaka wawe humuliated kwa kukubali waonyeshwe ?
Hawawezi kujua kila kitu
 
Tuliambiwa majasusi wa Israel ni moto wa kuotea mbali.

Ujasusi wao kumbe una limitation ?
Tuliambiwa Allah akbar toka ule uvamizi wa oktoba 7 imekuwaje tena kashindwa hadi Gaza imekuwa magofu?!
 
Don't waste your time arguing with a fool..!
Mtu hata kuandika sentesi ya kiswahili fasaha ina mshinda wa Nini ?
Story tu ushahidi tumeona kumbe wanajeshi wengi wametekwa gaza du
 
Unaweza kujua walipo lakin unaweza usiweze kuwatoa kwa usalama wao
Ni kweli kabisa na vita sio kitu cha kukurupuka kama tunavyo fikiria humu jukwaani, kila mmoja ana mbinu zake na mahesabu yake ktk medani za vita, kikibwa wamepatikana salama na msisitizo uwepo kwenye kusimamisha mapigano moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…