J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Ni mikoa yenye wafuasi weng wa dini hiyo!
 
Kwanini una-compare na church? udini tu ndiyo umekutawala.wamekuambia wanashindana?

unatakiwa ujue kua muslim university ni cha kidini na kina enrol waislam tu otherwise km ww ni mkristo uwe tayari ku adopt ethics za kiislam uwapo pale, ki2 ambacho vyuo vya kkristo hakipo, na makanisa yanamiliki tu vyuo bt operation ipo free na hawa enroll wakristo tu, nenda tumaini, nenda st john, nenda st augustine, pia malizia st joseph kawaulize nadhani utajua na kuelewa hiki ninachokisema
 
Mimi nipo tofauti kidogo nanyi. Mimi namwangalia alietoa hiyo statement yaani MKUU WA KAYA, yupo serious? Yeye degree yake aliyoipata imeshawahi shindana wapi?

Angalia CV yake ipoje? So far hiyo degree yake imeleta nini Tanzania? Kama sio majanga tu? Jamani sometimes sio chuo ila Mtu anaepata ile degree.

Mimi ningekuwa mkuu wa kaya ningekuwa mtu wa mwisho kumnyoshea KIDOLE MTU YEYOTE kuhusu ubora wa degree, kwasababu he is the first from LAST/THE BOTTOM!
 
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

Mikoa inaongoza kwa wavaa kanzu hiyo
 
That is very low of you! It is a very good University trying to provide a moral compass to our children in a very complex environment. I am a Christian myself schooled in a muslim environment. A moral upright student will do better in his or her academics, so dont ridicule the efforts of the MUM.
Uungwana ni kukubaliana na ukweli japo unauma. Dini sio kila kutu hapa dunian, fanya na mengine ili uishi
 
Mimi nipo tofauti kidogo nanyi. Mimi namwangalia alietoa hiyo statement yaani MKUU WA KAYA, yupo serious? Yeye degree yake aliyoipata imeshawahi shindana wapi? Angalia CV yake ipoje? So far hiyo degree yake imeleta nini Tanzania? Kama sio majanga tu? Jamani sometimes sio chuo ila Mtu anaepata ile degree. Mimi ningekuwa mkuu wa kaya ningekuwa mtu wa mwisho kumnyoshea KIDOLE MTU YEYOTE kuhusu ubora wa degree, kwasababu he is the first from LAST/THE BOTTOM!
Hiyo sio point, mbona Mbowe, Mnyika hawana elimu ya kutisha lakin bado wanatetea watanzania tupate elimu bora?
 
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Usiamini tu kila ukisikiacho bila kukifanyia utafiti hata mdogo....kwa taarifa yako mhitimu anayehitimu hapo huwa ameiva kisawa sawa kwani wao jamaa wako makini sana ktk utoaji wa taaluma.

Kama unabisha fuatilia kukubalika kwa walimu wanaohitimu hapo!
 
Sidhani kama aliyeanzisha thread hii alikuwa anamaanisha hivi!najua ulipindisha mtiririko wa mada uelekee huku unakotaka wewe.Anyway, nitafuatilia nione kama kuna ukweli ndani yake.
unatakiwa ujue kua muslim university ni cha kidini na kina enrol waislam tu otherwise km ww ni mkristo uwe tayari ku adopt ethics za kiislam uwapo pale, ki2 ambacho vyuo vya kkristo hakipo, na makanisa yanamiliki tu vyuo bt operation ipo free na hawa enroll wakristo tu, nenda tumaini, nenda st john, nenda st augustine, pia malizia st joseph kawaulize nadhani utajua na kuelewa hiki ninachokisema
 
Aisee ukweli ni kitu cha ajabu?

Una propagate Udini ndugu yangu wewe huna ndugu mwisilamu kwenye koo yenu? Alafu wengi (hasa wakristo) hutoa kejeli,masikhara,na ushuzi pale post inayohusu maendeleo ya waislam ikiwa hapa JF "udini hautaisha kama watu kama nyie mtaendeleza haya matapishi"

Waislam wasiposoma eti wajinga, wanaosoma mnawaponda sasa kwa hali hii unatengea nini? Waki react eti magaidi ila kutwa kucha hapa JF ni kuutukana uislam na waislam bila hoja zozote ila CHUKI na UDINI
 
unatakiwa ujue kua muslim university ni cha kidini na kina enrol waislam tu otherwise km ww ni mkristo uwe tayari ku adopt ethics za kiislam uwapo pale, ki2 ambacho vyuo vya kkristo hakipo, na makanisa yanamiliki tu vyuo bt operation ipo free na hawa enroll wakristo tu, nenda tumaini, nenda st john, nenda st augustine, pia malizia st joseph kawaulize nadhani utajua na kuelewa hiki ninachokisema

Umepanda daladala ya tandika hali ya kuwa unaenda tegeta
 
Maandiko ya Qur'an yanatimia hapa kwa kusoma baadhi ya Comments

Chapter 2 (Baqarah) Almighty says "Hawatokuwa radhi nanyi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mifumo yao"

mbeleni utakuta aya ingine "Watakupigeni vita (vya fikra,maneno,na kumwaga damu) mpaka wakutoeni kwenye dini yenu kama wataweza"

Naziona chuki JF kila ikija Thread ihusuyo waislam au mwisilamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom