ilimu=arabic word
Elimu=swahili word
Education=english word
Ndo maana wanafeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilimu=arabic word
Elimu=swahili word
Education=english word
Ni mikoa yenye wafuasi weng wa dini hiyo!Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Kwanini una-compare na church? udini tu ndiyo umekutawala.wamekuambia wanashindana?
Graduates wake wengi wanaishia kuwa masheikh na Immams
Unataka kusema kwamba wanawalenga zaidi watu wa imani yao pekee?
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Zero University of Morogoro
Uungwana ni kukubaliana na ukweli japo unauma. Dini sio kila kutu hapa dunian, fanya na mengine ili uishiThat is very low of you! It is a very good University trying to provide a moral compass to our children in a very complex environment. I am a Christian myself schooled in a muslim environment. A moral upright student will do better in his or her academics, so dont ridicule the efforts of the MUM.
Hiyo sio point, mbona Mbowe, Mnyika hawana elimu ya kutisha lakin bado wanatetea watanzania tupate elimu bora?Mimi nipo tofauti kidogo nanyi. Mimi namwangalia alietoa hiyo statement yaani MKUU WA KAYA, yupo serious? Yeye degree yake aliyoipata imeshawahi shindana wapi? Angalia CV yake ipoje? So far hiyo degree yake imeleta nini Tanzania? Kama sio majanga tu? Jamani sometimes sio chuo ila Mtu anaepata ile degree. Mimi ningekuwa mkuu wa kaya ningekuwa mtu wa mwisho kumnyoshea KIDOLE MTU YEYOTE kuhusu ubora wa degree, kwasababu he is the first from LAST/THE BOTTOM!
Ndo maana wanafeli
Graduates wake wengi wanaishia kuwa masheikh na Immams
Usiamini tu kila ukisikiacho bila kukifanyia utafiti hata mdogo....kwa taarifa yako mhitimu anayehitimu hapo huwa ameiva kisawa sawa kwani wao jamaa wako makini sana ktk utoaji wa taaluma.Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
If you are broke! Take it for free!!I can not buy this Cra p of yours
unatakiwa ujue kua muslim university ni cha kidini na kina enrol waislam tu otherwise km ww ni mkristo uwe tayari ku adopt ethics za kiislam uwapo pale, ki2 ambacho vyuo vya kkristo hakipo, na makanisa yanamiliki tu vyuo bt operation ipo free na hawa enroll wakristo tu, nenda tumaini, nenda st john, nenda st augustine, pia malizia st joseph kawaulize nadhani utajua na kuelewa hiki ninachokisema
Aisee ukweli ni kitu cha ajabu?
unatakiwa ujue kua muslim university ni cha kidini na kina enrol waislam tu otherwise km ww ni mkristo uwe tayari ku adopt ethics za kiislam uwapo pale, ki2 ambacho vyuo vya kkristo hakipo, na makanisa yanamiliki tu vyuo bt operation ipo free na hawa enroll wakristo tu, nenda tumaini, nenda st john, nenda st augustine, pia malizia st joseph kawaulize nadhani utajua na kuelewa hiki ninachokisema