Sasa mambo ya makaratasi ya bank hayakuhusu wewe bali mdogo wako. We endelea kumdondokea JFM wako mi niache na mdogo wako tupumuwe kwa amani...Mengi ana makaratasi ya bank,we unayo?
Yale makaratasi humuongezea life span kwani anakua stress free hivyo chance ya kumuacha k-lyin mjane inapungua(ceteris peribus) ukilinganisha na asie na madolare.
Mmmh........ngoja niangalie members wanaoanziwa na J...
hukuniita hapa mama terry..ngoja yaje kukumkuta kama ya strong woman..huhuu kila lakherii bibie ukiachika uje utupe mrejesho wa maumivuu
hukuniita hapa mama terry..ngoja yaje kukumkuta kama ya strong woman..huhuu kila lakherii bibie ukiachika uje utupe mrejesho wa maumivuu
Dr ngoja na mimi nifanye mchakato niitwe Jiwatu8 au Jei watu8...
Dr pasi na shaka atatokea wa W.......
halafu Dr umeadimika sana hapa............nakukosa mno........
majukumu tu Dr...maisha yanatufanya watu tuwe adimu kama mizizi ya jiwe...
kwema lakini?
aisee, ntatapika futar kwa kicheko
Aisee roho almanusra iniponyoke kwa jinsi nilivyopata mshtuko!!mapenzi hayana mwenyewe,unaweza kupenda kijana au mzee
umeniita jina langu baby,nami nafsi yangu imepoa
endelea kushika moyo wangu baby,unavyoenda mbio nawe utapoa
namshukuru mungu amekuleta mapema...jst singing
dizaini kama nausika ivi....lakni ngoja niwe mpole.!
Kwema sana Dr........kuna safari ya Pemba Mozambique kipindi chetu kile hakikisha una taarifa hii Dr............