J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

Mengi ana makaratasi ya bank,we unayo?
Yale makaratasi humuongezea life span kwani anakua stress free hivyo chance ya kumuacha k-lyin mjane inapungua(ceteris peribus) ukilinganisha na asie na madolare.
Sasa mambo ya makaratasi ya bank hayakuhusu wewe bali mdogo wako. We endelea kumdondokea JFM wako mi niache na mdogo wako tupumuwe kwa amani...
 
hukuniita hapa mama terry..ngoja yaje kukumkuta kama ya strong woman..huhuu kila lakherii bibie ukiachika uje utupe mrejesho wa maumivuu

Frequency ilikata nilivyoona hiyo J mama angu
 
hukuniita hapa mama terry..ngoja yaje kukumkuta kama ya strong woman..huhuu kila lakherii bibie ukiachika uje utupe mrejesho wa maumivuu

Kwanini una mawazo hasi?
Huamini kuwa kuna ndoa zenye Furaha? Tofauti za kimaisha zipo tu hata kwa mapacha.
 
mapenzi hayana mwenyewe,unaweza kupenda kijana au mzee
umeniita jina langu baby,nami nafsi yangu imepoa
endelea kushika moyo wangu baby,unavyoenda mbio nawe utapoa
namshukuru mungu amekuleta mapema...jst singing
 
Hongera ulioridhika na umpendae.Nahissi popot alipo anajijua na anazidi kufurahi na upendo wako........
"L'amour est un opium"........Endelea na na upendo huuuuuuuuuu
 
Dr ngoja na mimi nifanye mchakato niitwe Jiwatu8 au Jei watu8...

Dr pasi na shaka atatokea wa W.......
halafu Dr umeadimika sana hapa............nakukosa mno........
 
Dr pasi na shaka atatokea wa W.......
halafu Dr umeadimika sana hapa............nakukosa mno........

majukumu tu Dr...maisha yanatufanya watu tuwe adimu kama mizizi ya jiwe...

kwema lakini?
 
majukumu tu Dr...maisha yanatufanya watu tuwe adimu kama mizizi ya jiwe...

kwema lakini?

Kwema sana Dr........kuna safari ya Pemba Mozambique kipindi chetu kile hakikisha una taarifa hii Dr............
 
mapenzi hayana mwenyewe,unaweza kupenda kijana au mzee
umeniita jina langu baby,nami nafsi yangu imepoa
endelea kushika moyo wangu baby,unavyoenda mbio nawe utapoa
namshukuru mungu amekuleta mapema...jst singing
Aisee roho almanusra iniponyoke kwa jinsi nilivyopata mshtuko!!
 
Kwema sana Dr........kuna safari ya Pemba Mozambique kipindi chetu kile hakikisha una taarifa hii Dr............

Nitakucheck upande wa pili Dr...habari nzuri hii
 
Back
Top Bottom