Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sasa mambo ya makaratasi ya bank hayakuhusu wewe bali mdogo wako. We endelea kumdondokea JFM wako mi niache na mdogo wako tupumuwe kwa amani...Mengi ana makaratasi ya bank,we unayo?
Yale makaratasi humuongezea life span kwani anakua stress free hivyo chance ya kumuacha k-lyin mjane inapungua(ceteris peribus) ukilinganisha na asie na madolare.