naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Swadakta wewe wasema!Huyu jamaa si ndo ana undugu na Yule mdada Instagram Mwenye hips na matako makubwa Junaithar Pemba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta wewe wasema!Huyu jamaa si ndo ana undugu na Yule mdada Instagram Mwenye hips na matako makubwa Junaithar Pemba!
Ushamba tu. Akina dangote na pesa zao wametulia...
Mkuu maisha hayaishii kwenye magari. Najua wewe ni mmoja wa wapenzi wa magari. Hata mimi napenda sana magari, lakini anachofanya ni ushamba wa Waafrika, wa kuzuzuka na vimali tulivyonavyo. Hata Wamarekani weusi wana tabia hiyo hiyo. Ameamua kupiga video (naamini ni yeye) na kuonesha watu, hivyo ni haki ya mtu kumsifia kama wewe au kumnanga kama wengi wafanyavyo. Ila huu ni ushamba wa kiafrika katika ubora wake.Wabongo bana mara dangote mara mo mara bill gates.....yeye kaamua kuonyesha gari zake hao akina mo sijui dangote hawahusiki hapa....btw kajitahidi magari karibu $500k si haba
Wapi nimesema maisha yanaishia kwenye magari? Nashangaa tu mtu kaonyesha magari yake wengine wanaanza kuwataja akina dangote sijui bill gates kwani yeye kasema ni tajiri kuliko bill gates? Wengi wanaoponda humu ndio wa kwanza utakuta wamepost nyumba zao au magari yao kwenye profile zao mitandaoni. Anyway watu wa jf wako perfect sio tunaowaona mitaani huko.Mkuu maisha hayaishii kwenye magari. Najua wewe ni mmoja wa wapenzi wa magari. Hata mimi napenda sana magari, lakini anachofanya ni ushamba wa Waafrika, wa kuzuzuka na vimali tulivyonavyo. Hata Wamarekani weusi wana tabia hiyo hiyo. Ameamua kupiga video (naamini ni yeye) na kuonesha watu, hivyo ni haki ya mtu kumsifia kama wewe au kumnanga kama wengi wafanyavyo. Ila huu ni ushamba wa kiafrika katika ubora wake.
BTW mbona hiyo parking haiendani na hayo magari!!!!
umbwa wewe
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.
Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo
Sasa hivi utasikia Le Mutuz anakwambia huyo ni long time friendKweli mpiganaji hafi bali huzimia tu. .huyu mchizi angekuwa ana roho nyepesi kipindi kile alivyokatiwa mirija yake shavu akapewa kanali kipingu angekuwa mwingine angedata. .au alivyofanywa korongwee na kina msofe. ..hizi fujo kama huna mitkasi nazo hazitakiwi zikuume na kutolea mfano sijui dangote sijui dewji...huyu mtu haya ndo maisha kabla hata ya teknolojia kipindi hiko anajaza makaratasi kwenye wallet akiwa anasoma kinondoni muslim
Na aanze na MyweitherNampenda sana Donald Trump