Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

Huyu ni mdangaji kama wengine,hapo kuna wanawaume wanajipigia na kumhonga,kwa kifupi anacheza ligi kuu.

Ila shida ya haya maisha kwa mwanamke ni huwa yanaukomo. Kuna hatua atafika mtasikia yupo kwa mwamposa ana abudu na kufunga apate ndoa na mume. Subirini hapa mtakuja kunambia.
 
Mimi jack namfahamu toka akiwa sekondari forodhani ndio maana nataja mpaka mwaka aliomaliza form 4
Basi huijui historia yake kimuziki vinginevyo usingesema ameanza kuimba baada ya kuwa Miss TZ!! Isitoshe nina mashaka ikiwa kweli unamfahamu vizuri! Yaani amemaliza Form IV 2002?! Are you serious?! Kwahiyo unataka kusema alishiriki Miss Tanzania akiwa Form II?! Ukweli ndo niliokuambia. Jack kashiriki Miss Tanzania akiwa mkubwa tofauti na Miss Tanzania wengi ambao wanakuwa below 20. Jack kwa upande wake alikuwa above 20, na kisanaa alikuwa na ya Bendi ya Tanzanite.
 
Huyo sio mdada kazaliwa 1977 ni age go ya kavuka ushangazi
 
Yaani kimya
Labda aneanya kuishi privacy life
Nimegundua watu wengi sshv wamefanya kutoka kwenye life la maonyesho
Kama mambo yanamuendea poa sawa, si alikuwa na saloon enzi zile posta pale km nakumbuka vizuri.
 
Nipo kipenzi changu naendelea vizuri God is good πŸ˜‡πŸ™
Natumai na wewe ni mzima
Asante kwa kunijulia hali my dear it means alot ubarikiwe πŸ€—πŸ€—
Aminaaa rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…