TANZIA Jackson Makwetta (Mbunge na Waziri wa zamani) afariki dunia

nikiwa form one 1989 SHY BUSH wanafunzi wa form 2 walituambia "SOMENI sama mtaliona li MAKWETA"kwa maana ya mtihani wa form 2....yeah he was beautful like a MORNING PINK.i will personally miss him..R.I.P "JACKSON"
 
nakumbuka 1984 au 1985, wakati akimjibu augustine mrema bungeni kuhusu nyongeza ya bei ya kahawa(mabaki), wakatin mrema akitafuta umaarufu kama magufulu et la, alimwambia wazi mrema kuhusu jitihada za serikali wakati huo....tunaweza tukawa tunafanya mambo mengi, wanachi wakafaidika bila kujua kuwa wamefaidika kutokana na yale tuliyofanya...ni vema tukawatumikia nwananchi bila kudai kuwa sisi ndo tumefanikisha kuwafikisha walipo, kwa kuwa ni wajibu wetu..(tafsiri isiyo rasmi).

alichukia sana , hizi litania za kujisifu za viongozi wetu sasa hivi, mfano statistics za ulaghai kama...wakati wa uhuru kulikuwa na lami km 234, leo zipo 11,000 shauri ya uongozi mzuri wa jk, wakati huo hatusemi kuhusu variable muhimu kama vile wakati wa uhuru kulikuwa na watu 7m, barabara za lami 234km, na kuwa leo tupo 50m , je bado tulitegemea barabara za lami ziwe 234km? shame on you magufuli et la...
 
Kijijini kwetu tunamkumbuka sana kwa jinsi alivyopigana kiume mpaka tukapata barabara na RTC enzi hizo akiwa mbunge wa njombe ( Ludew,Makete,Wanging`ombe zilikuwa bado kumegwa). Kweli watu wazuri wanakufa yanabaki manung`ayembe yanayotuhangaisha.

Kwa njombe, alipigania elimu sana kupitia NDDT, shule zikafunguliwa kwa wingi. Mungu amekupenda zaidi.

RIP MAKWETA.
Eti kwetu Njombe, huu ni unafiki mbona mlimnyima ubunge katika uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM 2010? Mnamkumbuka wakati amekwishatangulia mbele ya Mwenyezi Mungu? Kweli wengi mtakwenda motoni kwa unafiki wenu. R.I.P ya dhati Makweta.
 
hakuwahi kupata skendo yoyote ya ufisadi pamoja na kutumikia awamu tatu za viongozi hakuwa na mawazo ya kujilimbikizia mali kama viongozi wa sasa hivi
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. RIP Makweta.
 
Mzee huyu alikuwa ni miongoni mwa viongozi wachache wa CCM waliotumikia taifa lao kwa uadilifu na kwa uzalendo wa hali ya juu, akiwa waziri wa serikali kwa miaka 25 mfululizo (1975 - 2000), lakini hakuna mahali alitumia vibaya madaraka yake kwani inasemekana kwamba hata nyumba ya kuishi nje kidogo ya jiji la Dar-es-salaam alijengewa na wanae kabla ya kustaafu na hata hivyo haikukamilika ipasavyo; na katika kipindi karibia chote cha ustaafu wake alikuwa anaishi kwao kijijini;

Lakini kwa vile serikali yetu ya CCM haijali watu kama hawa, msiba wake utaendeshwa kinafiki tu; Misiba yenye kupewa uzito ni ile ya viongozi wasiokuwa wazalendo ambao utashi wao unapimwa kwa utajiri wao; Lakini ipo siku yote haya yatabadilika;

Poleni wafiwa; Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi Mzee wetu Makweta, Amen;
The morning is here,and I can now see your second face,vividly emblazoned in your eyes,ahsante.
 
RIP mpigani, nd tanx alot kwa utumishi wako mwema ulio demostrate
 
RIP Jackson Makweta
Poleni wafiwa......... sote tunaamini anakwenda kupunzika kwa amani............. pia tunaamini anakwenda kuishi maisha mengine baada ya haya ya hapa duniani................. Mungu awe pamoja na wafiwa.........
 
Mzee huyu alikuwa ni miongoni mwa viongozi wachache wa CCM waliotumikia taifa lao kwa uadilifu na kwa uzalendo wa hali ya juu, akiwa waziri wa serikali kwa miaka 25 mfululizo (1975 - 2000), lakini hakuna mahali alitumia vibaya madaraka yake kwani inasemekana kwamba hata nyumba ya kuishi nje kidogo ya jiji la Dar-es-salaam alijengewa na wanae kabla ya kustaafu na hata hivyo haikukamilika ipasavyo; na katika kipindi karibia chote cha ustaafu wake alikuwa anaishi kwao kijijini;

Lakini kwa vile serikali yetu ya CCM haijali watu kama hawa, msiba wake utaendeshwa kinafiki tu; Misiba yenye kupewa uzito ni ile ya viongozi wasiokuwa wazalendo ambao utashi wao unapimwa kwa utajiri wao; Lakini ipo siku yote haya yatabadilika;

Poleni wafiwa; Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi Mzee wetu Makweta, Amen;

serikali ya kisanii inajali MAZISHI ya WASANII maana ni dugu moja,MWENYEZI MUNGU AMEMWEKA ANAPOSTAHILI-AMINA
 
The days when ulipozungumzia Jackson Makweta ulikuwa unazu gumzia kilimo au elimu. May he rest in eternal repose.
 
Eti kwetu Njombe, huu ni unafiki mbona mlimnyima ubunge katika uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM 2010? Mnamkumbuka wakati amekwishatangulia mbele ya Mwenyezi Mungu? Kweli wengi mtakwenda motoni kwa unafiki wenu. R.I.P ya dhati Makweta.

GOD knows where to put people according to their status
 
Nakumbuka alikuwa waziri wa Elimu akichukua nafasi ya mama Tabitha Siwale. Mzalendo na mchapakazi asiye na makuu wala majivuno. RIP mzee Jackson Makweta!
 
Mzee huyu alikuwa ni miongoni mwa viongozi wachache wa CCM waliotumikia taifa lao kwa uadilifu na kwa uzalendo wa hali ya juu, akiwa waziri wa serikali kwa miaka 25 mfululizo (1975 - 2000), lakini hakuna mahali alitumia vibaya madaraka yake kwani inasemekana kwamba hata nyumba ya kuishi nje kidogo ya jiji la Dar-es-salaam alijengewa na wanae kabla ya kustaafu na hata hivyo haikukamilika ipasavyo; na katika kipindi karibia chote cha ustaafu wake alikuwa anaishi kwao kijijini;

Lakini kwa vile serikali yetu ya CCM haijali watu kama hawa, msiba wake utaendeshwa kinafiki tu; Misiba yenye kupewa uzito ni ile ya viongozi wasiokuwa wazalendo ambao utashi wao unapimwa kwa utajiri wao; Lakini ipo siku yote haya yatabadilika;

Poleni wafiwa; Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi Mzee wetu Makweta, Amen;
Pamoja na yote hakustaafu bali alishindwa kutetea ubunge,huko Njombe walimchoka na kumzomea mbele ya Kikwete hadi walimwambia Kikwete aondoke naye na kama si Kikwete angeondoka na maji,nafikiri alitaka kuufanya ubunge kama ufalme,pamoja na hizo kasoro RIP familia ya Makweta
 
Back
Top Bottom