I think,View attachment 3613624
Wakati wa kipindi chake kama Rais wa Afrika Kusini, Zuma alitumia waziwazi historia yake ya uhamishoni kulaani chuki dhidi ya wageni (xenophobia). Hata hivyo, msimamo wake wa sasa wa kisiasa unaunga mkono kampeni za chama cha MK dhidi ya wahamiaji unawakilisha mabadiliko makubwa na yenye maslahi binafsi ambayo yanapuuza mshikamano aliowahi kuutetea yeye mwenyewe.
Jacob Zuma alitoroka Afrika Kusini mnamo Desemba 1975 ili kukwepa kukamatwa na serikali ya kibaguzi. Alikaa zaidi ya muongo mmoja uhamishoni akiwa Swaziland, Msumbiji na Zambia. Alipokuwa Msumbiji, alihudumu kama mwakilishi mkuu wa chama cha ANC na kuwapokea maelfu ya vijana wa Afrika Kusini waliokuwa wakikimbia machafuko ya Soweto ya mwaka 1976.
Alipokuwa madarakani, Zuma alikuwa akiwakumbusha mara kwa mara Waafrika Kusini kuhusu ukarimu wa bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi. Katika hotuba yake kwa Bunge ya mwaka 2015 kuhusu ghasia za xenophobia, Zuma alisema waziwazi kwa Kiingereza na isiZulu: "Tulipokea msaada kutoka kwa nchi nyingi wakati wa mapambano yetu ya uhuru. Hawakutufukuza wala kutunyanyasa."
Katika jibu lake bungeni mwaka 2011, alilikumbusha taifa kwamba "Waafrika Kusini walikuwa wanufaika wa urafiki, mshikamano, na msaada kutoka kwa watu wa Afrika na duniani," akisema kuwa historia hii inapaswa kuongoza jinsi Afrika Kusini inavyowatendea raia wa kigeni.
Ninashangaa "usahaulifu" wa Zuma na kuona kuwa ni hatua inayo chochewa na maslahi ya kisiasa na kutafuta fursa. Chama cha MK cha Zuma kinatumia hasira ya wapiga kura kuhusu ukosefu wa ajira, umaskini, na miundombinu mibovu. Kwa kuhamishia lawama mbali na makosa ya kisiasa ya ndani na kuzielekeza kwa raia wa kigeni, Zuma anatumia mbinu ya kawaida ya wanasiasa
Upo wapi huko ambako hakuna hao watu mkuu migodi yenu na mbuga zenu wamejaa watu gani sio kutembea kumiliki..Kila mtu arudi kwao akatengeneze nchi yake.
Umewahi kuwaona Wajapan, Wakorea, Wa Singapore n.k wakitangatanga nchi za watu??
Kwa sababu ya mfumo mbovu, dhaifu na corrupt unaoruhusu wageni ku take advantage overe wazawa.Mbona tuna Wachina mpaka huko ndanindani Kazuramimba na Nangurukulu. Wanauza mpaka mahindi
Hakuna cha kufix their own countries bali kilichopo ni siasa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Nov 4, 2026.I think,
Africans should take that as an opportunity to address their issues at their home countries and rebuild their home countries, instead of blaming South Africans, who are united in defending their country against non South Africans π
Wala Jacob Zuma hajapoteza memory bali "amesaliti" imani yake dhidi ya pan africanism na fadhila alizopata kwenye nchi ambazo ziliwahifadhi kwenye miaka hiyo. Na anafanya hivi makusudi ili chama chake kipate kura nyingi kutoka kwa votersMemory loss ya kisiasa ni ugonjwa mbaya sana kuliko xenophobia yenyewe.
Absolutely,I think,
Africans should take that as an opportunity to address their issues at their home countries and rebuild their home countries, instead of blaming South Africans, who are united in defending their country against non South Africans π
Mbona hata Ulaya magharibi nzima (Italy, France, UK, Germany nk) nao wanalalamika na undocumented immigrants. Lakini Ulaya wana handle undocumented immigrants kiutaratibuKwa sababu ya mfumo mbovu, dhaifu na corrupt unaoruhusu wageni ku take advantage overe wazawa.
vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi Tanzania, watashughulikiwa na wananchi wapiga kura wazalendo kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa2029 na uchaguzi mkuu 2030Absolutely,
Just like Zanzibaris and Tanganyikans are doing now
Nonsense,vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi Tanzania, watashughulikiwa na wananchi wapiga kura wazalendo kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa2029 na uchaguzi mkuu 2030
inaweza kua ni kukataliwa kwa fedheha sana aise kwenye sanduku la kura π
relax plz gentleman and I'm sorry for saying the truth πNonsense,
Wacha kurukaruka kama maharagwe jikoni, jikite kwenye mada mezani
Jacob Zuma ametenda dhambi itakayokitafuna hadi kizazi chake cha 20 miaka ijayo. Of all the people yeye angekaa kimya. Yaani ameishi Moza, Zambia na Swaziland, huku nchi zingine zikiwasaidia kupambana na kaburu.Mambo ya Xenophobia yameanzia Kwazulu Natal na kiongozi yeyote anaunga hilo jambo anaonekana ni mzalendo ndio maana wamemtumia Zuma ili aunge harakati zao ila kasahau yeye na ndugu zake walitumia Passport za Nchi nyingine ili kuweza kusafiri..