Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Wewe ukifa utakubali watoto wako wakalelewe na ndugu wakati umeacha mke na Mali za kutosha?
 
Wewe mtoto SI ukatafute zako.
Hebu fikiria Mzee wako ana mali kama Bakheresa,anaoa bi mdogo,harsfu kwenye urithi anaandika mali zote ziende kwa bi mdogo na uzao wake,harsfu wewe ambae umekuwa na Mzee wako ukifanya kazi kwenye makampuni yake,hupati hata ka IST!!
 
Mzee Mengi siku za mwisho za uhai wake alikuwa kashachoshwa kiakili na yule mwanamke. Hata huo usia inawezekana uliandikwa kwa ushawishi wa huyo mwanamke.
 
Ukiendekeza kichwa cha chini utaacha familia yako kwenye matatizo makubwa hata kama unamali nyingi
 
Jacky hajanyimwa urithi kaka,sema TU will imekaa vibaya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida ndo hvyo sema hawezi kujishughulisha yaani yeye anataka awe top ila watu wamfanyie kipindi Yuko na mengi angekua mwingine angekua na miradi yake mingi TU sasa hivi binafsi akajisahau kabisaaa yaani ndo maana anahangaika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha....nimecheka mbayaaa wakiona hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiendekeza kichwa cha chini utaacha familia yako kwenye matatizo makubwa hata kama unamali nyingi
Mzee wakati mwingine ukifikilia unaona kidogo alikuwa sahihi kwa upande wake, aliona watoto wadogo ndio wana stahili urithi wake
 
Hausiki nazo wakati mzee alishajitia kitanzi Cha ndoa na watoto kazaa nae?hilo balaa lao wanalo.wakimkataa jack Kama mke wa baba yao watamkubali Kama mama wa wadogo zao.kiufupi jack hakwepeki

Yes hakwepeki. Ila hastahili kuchukua mali ambazo hata mume wake hakuwa anamiliki 100%.

Huo ni wizi wa mchana kweupe
 


Kyln hajawai kushinda, alishinda pingamizi tu alilowekewa na ile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba. Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…