Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Wewe ukifa utakubali watoto wako wakalelewe na ndugu wakati umeacha mke na Mali za kutosha?
Watoto watalelewa na ndugu zao yaani kaka dada, mashangazi, baba wakubwa na wadogo. Hapo wanachotaka ni aachie mali za urithi aliojiandikia yeye kwa mkono wake.

Wadangaji huwa wanajiona very smart but wanasahau kuwa nyuma ya utafutaji huwa haki inafuata. Sasa kama utafutaji wako ulikuwa si wa haki then jiandae kufuatwa na hatima kama hii inayomkuta huyu mlimbwende.
 
Wewe mtoto SI ukatafute zako.
Hebu fikiria Mzee wako ana mali kama Bakheresa,anaoa bi mdogo,harsfu kwenye urithi anaandika mali zote ziende kwa bi mdogo na uzao wake,harsfu wewe ambae umekuwa na Mzee wako ukifanya kazi kwenye makampuni yake,hupati hata ka IST!!
 
Mzee Mengi siku za mwisho za uhai wake alikuwa kashachoshwa kiakili na yule mwanamke. Hata huo usia inawezekana uliandikwa kwa ushawishi wa huyo mwanamke.
 
Ukiendekeza kichwa cha chini utaacha familia yako kwenye matatizo makubwa hata kama unamali nyingi
 
Mapambano bado yanaendelea hadi kieleweke.
Mjane wa Marehemu Mengi anayo haki na ataipata tu.
Ikibidi hata Mahakama ya Afrika Mashariki atafika.

Haya ni mapambano sio tu ya kudai haki ya Jacqulline bali ni mapambano dhidi ya mila na desturi kandamizi kwa wajane wote Tanzaania, tusimlaumu Jacquline bila kufikiria,
bado nchini tunayo makabila yenye desturi na mila kandamizi kwa wajane/wanawake hivyo lazima wanawake wote na wapenda haki tusimame pamoja na mpambanaji Jacquline kupinga ukandamizaji na unyanyasaji huo kupitia Mahakama.
mapambano yanaendelea..................
Jacky hajanyimwa urithi kaka,sema TU will imekaa vibaya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. Tamaa yenye mizizi ya ubinafsi ndani yake.

2. Hana uwezo wa kutafuta pesa maana angekuwa nao kidogo alichopata angeshafanya makubwa sana. Anaonekana anapenda sana matumizi makubwa ya mamilioni na tambo za mjini na huku hana uwezo wa kutafuta.

3. Hapendi kushare na hayupo tayari kwa hilo.

4. Anajua akitoka hapo hana tena pa kuanzia maana hao jamaa watamfilisi kila kitu endapo atashuka uwezo wa kifedha atashindwa kupambana nao kisheria.
Shida ndo hvyo sema hawezi kujishughulisha yaani yeye anataka awe top ila watu wamfanyie kipindi Yuko na mengi angekua mwingine angekua na miradi yake mingi TU sasa hivi binafsi akajisahau kabisaaa yaani ndo maana anahangaika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ninao watoto wangu wa kike kadhaa, actually mara nyingi huwa nawaambia kwamba nawaombea kwa Mungu, na wao wajitahidi katika maisha yao wasijekuja kuwa kama Jackline Ntabaya..., wema sepetu, hamisa na kajala. huwa nawaambia kabisa hawa ni watu wenye mifano mibaya kabisa ya maisha wasijejichanganya wakawa kama wao. siwezi mention ambalulu na yule mvuta bangi gigi money kwasababu hao wameshapita hata kwenye mfano mbaya wa maisha.
Hahahaha....nimecheka mbayaaa wakiona hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiendekeza kichwa cha chini utaacha familia yako kwenye matatizo makubwa hata kama unamali nyingi
Mzee wakati mwingine ukifikilia unaona kidogo alikuwa sahihi kwa upande wake, aliona watoto wadogo ndio wana stahili urithi wake
 
Hausiki nazo wakati mzee alishajitia kitanzi Cha ndoa na watoto kazaa nae?hilo balaa lao wanalo.wakimkataa jack Kama mke wa baba yao watamkubali Kama mama wa wadogo zao.kiufupi jack hakwepeki

Yes hakwepeki. Ila hastahili kuchukua mali ambazo hata mume wake hakuwa anamiliki 100%.

Huo ni wizi wa mchana kweupe
 
Hapa hii kesi kila upande unashinda na kushindwa kutokana na makosa ya kiufundi,technicalities tu,unaweza ukakuta umekosea kuweka mkato au nukta tu,
Huyu dada kweli kwa kipindi alichoishi na Mzee Mengi,Hana,Wala hakuweza hata kuwa na milioni 200 kwenye akaunti yake?
Kwanini asikubali kupokea hicho kidogo Cha urithi,asonge mbele


Kyln hajawai kushinda, alishinda pingamizi tu alilowekewa na ile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba. Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena.
 
Back
Top Bottom