mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe ukifa utakubali watoto wako wakalelewe na ndugu wakati umeacha mke na Mali za kutosha?
Watoto watalelewa na ndugu zao yaani kaka dada, mashangazi, baba wakubwa na wadogo. Hapo wanachotaka ni aachie mali za urithi aliojiandikia yeye kwa mkono wake.
Wadangaji huwa wanajiona very smart but wanasahau kuwa nyuma ya utafutaji huwa haki inafuata. Sasa kama utafutaji wako ulikuwa si wa haki then jiandae kufuatwa na hatima kama hii inayomkuta huyu mlimbwende.