Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Kwanini mpaka uadress kabila la mtu we mbwa? Na nani kakuambia huyo ni mhaya? Humjui mtu unaropokwa. Mavi makubwa yasiyo na faida.
wahaya siku hizi hamna lolote hadi mnabishania kabila mkiitwa wahaya. kajengeni kwenu pimbi nyie.
 
Unapaswa kujua kuna 25% ya kina Regina tangu Wazazi wao wakiwa hai,halafu kwa ile 75% iliyobaki nusu yake kwa maana ya 37.5% ni ya Mercy Mengi ambayo ni wazi inakwenda kwa watoto wake.Mpaka hapo Wale wakubwa tayari wana 62%.Hapa kinachogawanywa ni ile 37.5% tu ya Mzee Mengi ambayo ndiyo Jack alitaka achukue yote na watoto wake kitu ambacho si sawa kisheria.Wale wakubwa wana haki yao pia kwa hiyo share ya Baba yao.Ndiyo maana ujuaji wa Jack utamgharimu zaidi kwakuwa wale watoto wakubwa hata kabla ya huu mzozo wana upper hand kuliko yeye.
Thanks. Imemiweka vizuri Sana. Eti watoto wakubwa wasipate urithi wa Baba yao kabisa. Kwani walimkosea nini wakati watoto hao wamesimama biashara zote toka mzee alipoanza kuugua seriously 2016? Biashara zijanyooka. Tena ujue biashara zilishaanza kuyumba Sana ndiyo Motie na Regina wakaingia na Abdiel baadaye wakanyoosha mambo. Hii puss inataka ipewe tu eti. Sasa hivi linadanga Dubai na Mzungi linataka kina Regina wazalishe wamtumie. Yaani anatakiwa alengeshwe Moja ya utosini. Hovyo kabisa. Yaani imenifanya nidharau slay queens hawana akili zaidi ya kuuza papuchi.
 
INGEFAA WALE WATOTO WA MKE WA KWANZA WAITISHE PRESS CONFERENCE IKIWA LIVE KABISA MAAAAANA ITV NI YA MENGI ILI KUELEZEA NI LINI BABA YAO ALIACHA MAJUKUMU YA KIOFISI AKAWAKABIDHI WAO KUENDESHA NA KUSIMAMIA MALI NA BIASHARA ZOTE , NA KUELEZA UMMA KUWA EVERYTHING IS UNDER CONTROL
Wangefanya hivyo ila hawaoni umuhimu
 
Familia ya media Ila haijawahi hata siku Moja kutumia media kwenye private matters. Hata kwa sasa business matters ziko handed na waliowaajiri katika nafasi zao na wako independent. Kifupi malezi ya watoto wakubwa wa marehemu Mengi ni Exceptional.
HII SIO PRIVATE MATTER ,MZEEEEEEEEEEE JUA KWAMBA MAREHEMU KAACHA LEGACY , MAREHEMU KAAACHA MAMIA YA WATANZANIA AKIWA ANAWALISHA KILA MWEZI , MAREHEMU KAACHA. BIASHARA. NYINGI TUU ZILIZOTOA AJIRA ZAIDI YA 100 (HAPA WALA USIULIZE) ,MAREHEMU KATOA MICHANGO MINGI SNA KATIKA TASNIA MBALI MBALI HAPA TZ , SADA UKICHUKULIA HAYA YANAYOENDELEA BINAFSI NA PINGA HII KITU KAMA PRIVATELY , MAANA. WALE WALIO KASIMISHWA. BIASHARA ZOTE BEFORE HAJAFA , WAKILALA TUU HIVI VIWANDA KAMA BONITE BOTTLERS , NA BIASHARA ZOTE ZINAKUWA ZIMEKUFA JUST CHUKULIA , UMEJENGA NYUMBA , UKAWA MZEE(UKASHINDWA SIMAMIA) , WATOTO ULIO ZAA WAKO MATURED SO UNA WAKABIDHI USIMAMIZI NA UMILIKI , MARA GHAFLA.......ILA DAH NASHINDWA ANDIKA HAPA YAAAAANI NI USA III MTUPUUU KAMA CHAI HII INA SISIMIZI
 
Uweke hapa tucheke bwana ,nasikia mpaka nguo zimeandikwa wapewe watoto wawili wa Jac.Hivi jamani billionea anaandika hadi masuala ya nguo
?
Ulikuwepo humu ule wosio ngoja niutafute[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]yaani mambo meusi kweli kila kitu mpk vijiko yaani vyoote vya kwake na wanawe wale wengine haviwahusu kabisaa yaani tajiri mpk vijiko na boksa kaweka urithi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nambie, tumuozeshe boma lipi? Tumtafutie mapema. Tuende kwa sawaya, mremi ama kwa nani? Hatutaki wadangaji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]kwa mremaa ndo kunamfaa naona...yaani hili litafanya wawe very selective Mutie akija kuoa maana washajua wengi wako kibusiness ndo maana wenzetu waarabu matajiri wanaoana ndugu kwa ndugu kuepuka hizi mambo za tamaa za hovyooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dah HII KITU. INAFIKIRISHA SANA , NIPP MOShi MAJUZI NILITEMBELEA SHANTI TOWN PALIPO NA MAKAZI YA MENGI JUMBA ZURII SANA LINA FENCE KAMA LOTE , ILA DAH KESHO NTAENDA. KULE BONITE KUTEMBELEA JAPO NIKAAANGALIE MANDHARI YA PALE NJE KIDOGO MAANA NASIKIA KWA SASA KUNA OPERATIONS NA PRODUCTIONS NYINGI SANA COZ MSIMU HUUU WA SIKUKUU MAANA VINYWAJI VYOTE KASKAZINI VITATOKA HAPO KIWANDANI...
 
Familia ya media Ila haijawahi hata siku Moja kutumia media kwenye private matters. Hata kwa sasa business matters ziko handed na waliowaajiri katika nafasi zao na wako independent. Kifupi malezi ya watoto wakubwa wa marehemu Mengi ni Exceptional.
Wamelelewa vzr sana ujue ukiwa mwem Hata Mungu anakupigania miaka ya elf200 0 abdiel alishawahi kutegewa madawa ha kulevya Ili tu akamatwe wamchafue Mzee Mengi na IPP ila huwezi amini walopanga mpango walimtonya Mzeee Mengi hayo madawa yalipangwa aingizwe kwenye begi airport pale ila Mungu mwema wakamtonya Mzee ,kwa kweli Ile kitu Mengi ilimuuma sana nadhani enzi zilee ndo ana vita na Kina Manji na mafisadi wengine akaongea kwenye Media kiuchungu sanaaa...hii ni kwa kua Mzee Mengi na wanawe hawakua na makuu maana kama wangekua na majivuni Abdiel alikua anapotea na IPP brand yake ilikua inaenda kufaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mchunga n’gombe umevamia mada wewe uwezo wako wa kufikiri ni kubaka mbuzi na kufuga fisi kwanza tangu lini wasukuma mkawa na akili?
Tafadhari usitukane kabila letu ww unajiona una akili ni nn umefanya hapa duniani mpaka ukawa na nguvu ya kudharau kabila .. Lushindo ww.
 
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.

Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.

May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.

Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.

Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.

Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA

Golddigger Jacqueline ntyakubaliwe
 
Hii kitu ipo interested sana yaaani baada ya mazishi ndo tunaona. Kila rangi halisi , hivi kumbe ukioa mwanamke. Mweupe kichwani. Kuna. Madhara makubwa sana ukiwa hai au kufariki !????
 
Back
Top Bottom