Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Huyu dada tamaa ya pesa itamfanya apoteze uhai. Amuulize yule mama aliyefariki juzi na wanae kwenye ajali ya gari.Infwakti Yule mama Immaculata Byemerwa kabla ya kuolewa na Engneer alikuwa na yuho mwanae Albert ambae ndo alikuwa dereva. Kaolewa kazaa Janet na Jolister.Na kumbuka kwamba alimkuta Josepahat ana watoto wakubwa .Sasa yule mama kapata ajali na kafariki na uzao wake wote. Kaacha watoto wa mzee wafaidi vizuri mali za baba na mama yao mzazi.
Jack acha tamaa.
Unawafahamu? Maana tuko nao jirani huku Yombo Dovya,
 
Thanks. Imemiweka vizuri Sana. Eti watoto wakubwa wasipate urithi wa Baba yao kabisa. Kwani walimkosea nini wakati watoto hao wamesimama biashara zote toka mzee alipoanza kuugua seriously 2016? Biashara zijanyooka. Tena ujue biashara zilishaanza kuyumba Sana ndiyo Motie na Regina wakaingia na Abdiel baadaye wakanyoosha mambo. Hii puss inataka ipewe tu eti. Sasa hivi linadanga Dubai na Mzungi linataka kina Regina wazalishe wamtumie. Yaani anatakiwa alengeshwe Moja ya utosini. Hovyo kabisa. Yaani imenifanya nidharau slay queens hawana akili zaidi ya kuuza papuchi.
Hapana, alengeshwe ya kwenye mburasi yake ili akili zirudi kichwani[emoji23]
 
HII SIO PRIVATE MATTER ,MZEEEEEEEEEEE JUA KWAMBA MAREHEMU KAACHA LEGACY , MAREHEMU KAAACHA MAMIA YA WATANZANIA AKIWA ANAWALISHA KILA MWEZI , MAREHEMU KAACHA. BIASHARA. NYINGI TUU ZILIZOTOA AJIRA ZAIDI YA 100 (HAPA WALA USIULIZE) ,MAREHEMU KATOA MICHANGO MINGI SNA KATIKA TASNIA MBALI MBALI HAPA TZ , SADA UKICHUKULIA HAYA YANAYOENDELEA BINAFSI NA PINGA HII KITU KAMA PRIVATELY , MAANA. WALE WALIO KASIMISHWA. BIASHARA ZOTE BEFORE HAJAFA , WAKILALA TUU HIVI VIWANDA KAMA BONITE BOTTLERS , NA BIASHARA ZOTE ZINAKUWA ZIMEKUFA JUST CHUKULIA , UMEJENGA NYUMBA , UKAWA MZEE(UKASHINDWA SIMAMIA) , WATOTO ULIO ZAA WAKO MATURED SO UNA WAKABIDHI USIMAMIZI NA UMILIKI , MARA GHAFLA.......ILA DAH NASHINDWA ANDIKA HAPA YAAAAANI NI USA III MTUPUUU KAMA CHAI HII INA SISIMIZI
Hello, hawa hawaitaji media drammars. Wako.well groomed. Angekua jacky ndo angekesha na media kama ulivyoona twitter walimpopoa. Hawahitaji kutunia media as everything is well documented. Kila kitu kiko wazi. Kazi wataifanya mawakili na basi.
 
Akili kaka akili brain must work forward! inquisitive mind...Kuna beuty with brain na beuty with brainless

Walotoboa kwa Mzee Mengi ni madam ritha ,Lilian Kazidiwa hata na maua sama[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu mzee alipita hadi na maua sama wa juzi tu 😆 huyu mzee nae alizidi ilibidi ile siku ya kuuga mwili tumfinye kidg mashavu khaaa 😆
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]kwa mremaa ndo kunamfaa naona...yaani hili litafanya wawe very selective Mutie akija kuoa maana washajua wengi wako kibusiness ndo maana wenzetu waarabu matajiri wanaoana ndugu kwa ndugu kuepuka hizi mambo za tamaa za hovyooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo combo ya mmachame na wale watoto wa mrema yewooomii[emoji23][emoji23][emoji23] wameng'a matairi yote mrs mrema ameishia kubaki na panki lake la kimo cha ndege my friend
 
Akili zao zote zinakuaga kwenye mbiko tu[emoji23][emoji23]
sasa wewe angalia slay kama wema, kajala,mobeto,zari,jack,gigy money, ambalulu, Lina wooote, hamna cha maana wanachofanya zaidi ya kubadilisha mabwana hadi wanazeeka. wengine wanaweza tumia hata 20m kupanga nyumba, ila hawana kiwanja, hela hiyo basi wangeitumia hata kupata elimu tu kichwani lakin hawana akili
 
INGEFAA WALE WATOTO WA MKE WA KWANZA WAITISHE PRESS CONFERENCE IKIWA LIVE KABISA MAAAAANA ITV NI YA MENGI ILI KUELEZEA NI LINI BABA YAO ALIACHA MAJUKUMU YA KIOFISI AKAWAKABIDHI WAO KUENDESHA NA KUSIMAMIA MALI NA BIASHARA ZOTE , NA KUELEZA UMMA KUWA EVERYTHING IS UNDER CONTROL
Hawana haja ya kufanya hivyo wale
 
sasa wewe angalia slay kama wema, kajala,mobeto,zari,jack,gigy money, ambalulu, Lina wooote, hamna cha maana wanachofanya zaidi ya kubadilisha mabwana hadi wanazeeka. wengine wanaweza tumia hata 20m kupanga nyumba, ila hawana kiwanja, hela hiyo basi wangeitumia hata kupata elimu tu kichwani lakin hawana akili
Wanajua kuuza vitundu vyao tuu
 
Hiyo combo ya mmachame na wale watoto wa mrema yewooomii[emoji23][emoji23][emoji23] wameng'a matairi yote mrs mrema ameishia kubaki na panki lake la kimo cha ndege my friend
Watoto wa mrema mungu anawaona
Watu wapo makaburini wao wako busy na tairi na engine ya prado
Dorini kabaki na funguo za prado na password za bank atm card zote hana
 
Mwizi anakimbizwa kimya kimya yoweee anapiga yy[emoji2][emoji2][emoji2]yaaani simpatii picha angekua boss lady kwa sasa n kuvaa nguo nyeupe na kuzurura tuu madam wa kile kigroup chao sijui limefia wap tokea mzee kafa.
Ila jaman pesa itakufanya mpk kuku wakutukuze[emoji119]
 
Watoto wa mrema mungu anawaona
Watu wapo makaburini wao wako busy na tairi na engine ya prado
Dorini kabaki na funguo za prado na password za bank atm card zote hana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii.
Halaf ukute watoto wa mrema nao vipenyoo... mbooonaaaaa
 
Ulikuwepo humu ule wosio ngoja niutafute[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]yaani mambo meusi kweli kila kitu mpk vijiko yaani vyoote vya kwake na wanawe wale wengine haviwahusu kabisaa yaani tajiri mpk vijiko na boksa kaweka urithi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nafatilia comment zenu zinachekesha mno😅😅
 
Kweli Mengi ndio wakuandika eti viatu vyote watavaa watoto wake wadogo? Wasubiriwe wakikua watavaa hapana sii sawa
 
Back
Top Bottom