Warundi na waha roho zinawapwita baada ya hii hukumu.Tuwahurumie tu kwa kweli,siyo kwa hasira walizonazo,hawachelewi kutuletea Intarahamwe hapa japo tutawachakaza hadi wapotee kabisa[emoji3][emoji3]Eeh, ya kwetu mae... karibu BONITE. salimia shimimana[emoji23]
Alivyo mpuuzi.kang'ang'ania jina la Mengi kalikana hadi jina la baba yake.Huko mwanzoni alianzisha Foundation ya Dr Ntuyabaliwe baadae kaitelekeza kaamua kujishikiza kwa Wamachame yeye na Dada yake ili wawadangie vizuri The Mengi's.Utakuta hata jina la dada mtu anaitwa Shimi Mengi [emoji3][emoji3]Mkuu nakuhakikishia jumba la Moshi na Moshi yote Jack hatakanyaga tena. Kwa Mila za kichagga hasa Machame ukishaingia Mahakamani huwezi kuchangamana tena. Hivi unakumbuka hata kumbukumbu ya mwaka mmoja kifo cha Mengi ilifanywa na wale marafiki zake na watoto wakubwa Moshi na Jack hakutia mguu? Hata kaburini hatakiwi. Kifupi ameshajifukuzisha mwenyewe. Pole zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watoto wa mrema mungu anawaona
Watu wapo makaburini wao wako busy na tairi na engine ya prado
Dorini kabaki na funguo za prado na password za bank atm card zote hana
Wamelelewa vzr sana ujue ukiwa mwem Hata Mungu anakupigania miaka ya elf200 0 abdiel alishawahi kutegewa madawa ha kulevya Ili tu akamatwe wamchafue Mzee Mengi na IPP ila huwezi amini walopanga mpango walimtonya Mzeee Mengi hayo madawa yalipangwa aingizwe kwenye begi airport pale ila Mungu mwema wakamtonya Mzee ,kwa kweli Ile kitu Mengi ilimuuma sana nadhani enzi zilee ndo ana vita na Kina Manji na mafisadi wengine akaongea kwenye Media kiuchungu sanaaa...hii ni kwa kua Mzee Mengi na wanawe hawakua na makuu maana kama wangekua na majivuni Abdiel alikua anapotea na IPP brand yake ilikua inaenda kufaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usitake nicheke ha ha ha ha bila hiyo tusingekuwa katika uzi huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio kivile
huyo Miku ndo nani? na yeye alikuwa mtoto wa Mengi?Na Hii ya Abdiel kubambikiziwa unga na Yusuf Manji akiwa safarini kuelekea India ndio ilimpoteza Miku kwenye Macho ya watu akapunguza Marafiki kwa usalama wake kabla ya hapo Abdiel alikua ni mtu wa kula bata na Marehemu Mutie ukienda slipway jumapili alikua hakosekani na Oystebay shopping Centre haumkosi jumamosi , viwanja vyote vya Starehe alikua hakosi ijapokua hatumii kilevi Mpaka sasa
Kukosa misiba iliyofululiza ya baba na Mama Yao , Maangaiko ya case , kurogwa , kuvulugwa kichwa Miku angeoa mwaka juzi kwa Kua Abdiel anafanya mambo yake kwa Siri sana chini chini Sita weka details za mwanamke aliemkaa Abdiel kwenye moyo nilioneshwa na binamu yake very decent Lady ,Sio slay queen , ana sifa za Kua mke na yeye ni mpole na msiri pia wa mambo yake very low profile , Financially Stable mara ya kwanza nilikutana na huyo Binti Duka flani kubwa London, England akalipia Bill yangu na Ya kwake pasipo kumuomba
Unatumia Sheria gani ndugu? Tujuze tupitie wote kwa pamojaWosia ulisha pigwa Chini. Halafu kisheria Mali ulizozikuta ni za bwana kabla ya ndoa sio Mali zako.
Sasa Mtusi alichangia nn zaidi ya nje-nje-nje-ndani pulling ilikuwepo?Ndoa sikitu na watoto sikitu na wosia sikitu kwenye mambo ya urithi, mahakama inachoangalia ni kuona haki inatendeka kwa watoto wa marehemu na mama zao na je mama wa watoto walichangia kiasi gani kwenye hiyo mali.
Khaaaa!Akili zao zote zinakuaga kwenye mbiko tu[emoji23][emoji23]
Huyo anajichanganya bora angetulia wakampa wanachoona anastahiliSasa Mtusi alichangia nn zaidi ya nje-nje-nje-ndani pulling ilikuwepo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hebu tupe habari kamil miss maana haya mambo ya madanga kuvamia mali za wazee zinasumbua sana familia..Watoto wa mrema mungu anawaona
Watu wapo makaburini wao wako busy na tairi na engine ya prado
Dorini kabaki na funguo za prado na password za bank atm card zote hana
Acha upumbavu, kati ya Mhaya na Mchaga nani ana akili?Jackline anatafuta kifo tu kugombea Mali ambazo hausiki nazo na amezikuta.
Muhaya hawezi kuwazidi akili wachaga, anajidanganya tu.
Nenda ukachapwe 24 hours kama jina lako mshamba wewe.wahaya siku hizi hamna lolote hadi mnabishania kabila mkiitwa wahaya. kajengeni kwenu pimbi nyie.
Na yule dada Yake alimsogeza karibu kwenye Ile Foundation sijui ana Hali ganHuyo anajichanganya bora angetulia wakampa wanachoona anastahili
Mnyukano wa PhD huu. Wakora waitu!Acha upumbavu, kati ya Mhaya na Mchaga nani ana akili?
Najuta mmetoa Siri Mutie alivyokufa mbona walimuonesha mwanawe enzi zile na wakasema ana 6 or seven years kwani hamkuwa mnafatiliaga msiba ya Rodney?Hawa kina abdiel na regina kwenye vihafla vya kampuni kipindi cha babake walikuwa wanaonekana mbona
Hakuna kesi jack atashinda ataendelea kuangukia pua hivyo hivyo mwisho wa siku atajikuta vichechi vidogo alivyoachiwa na mzee vimekata ndio uchi umechokaHii case Jack kama ikionekana atashinda.. ataambulia kupata urithi wa makampuni yaliyofilisika.. sana sana atarithi madeni.
Wakati huu yupo Dubai.. kuna watu hawalali kuangalia namna ya kuchepusha mali..
Kiufupi Jack alivyoandika wosia feki na kuanza harakati za kesi.. ndo imemuharibia.. atashindwa tu